Ungetamani nani asife?

Wewe ndio pimbi kabisa yaani mama yako ndio wa3
Kwahio mwanao ni mbora kuliko mama yako aliokuzaa
Au ww ni bora zaidi kuliko mama yako
Mijitu mingine bana inaongeza nafasi za watu tu hapa duniani[emoji1321]
Ndo ilivyo, ukimuuliza mama yake atamtaja dinazarde badala ya mama yake.
 
Pole sana Mkuu
 
Wewe ndio pimbi kabisa yaani mama yako ndio wa3
Kwahio mwanao ni mbora kuliko mama yako aliokuzaa
Au ww ni bora zaidi kuliko mama yako
Mijitu mingine bana inaongeza nafasi za watu tu hapa duniani[emoji1321]
Mmh hapana ana sababu zake... Nimeshawahi kukutana na watu wanaoombea wazazi wao wafe... Ukikaa na kusikiliza simulizi zao utashangaa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…