Ungepewa nafasi uchague

wote tupendane, ila itakuwa poa zaidi upendo wake kwangu ukizidi. Sio muda wote tunakuwa na watu wanaotupenda zaidi, kuna muda nafsi zetu zinawakataa kabisa ingawa tunajua kabisa kuwa pale tunapendwa
 
wote tupendane, ila itakuwa poa zaidi upendo wake kwangu ukizidi. Sio muda wote tunakuwa na watu wanaotupenda zaidi, kuna muda nafsi zetu zinawakataa kabisa ingawa tunajua kabisa kuwa pale tunapendwa
na hapo ndo utata unakuta unaamua kabisa kuwa na mtu kuuridhisha moyo wako lakini majangA
 
Mimi naona yeye ndio ananipenda kuliko mimi........japo na mimi pia namkundarie ile mbaya..........

mke akikupenda zaidi kuliko unavyompenda ni raha sana...maana hata akikubamba unachepuka analia na anakusamehe...men's thinking....LoL!!
 

Attachments

  • 1437238946649.jpg
    1437238946649.jpg
    78.9 KB · Views: 150
Mpe simu yako akae nayo siku nzima. Aweza kupata magonjwa yote kuanzia BP....hadi.....!
japo yeye ndo kaninunulia lakini hata kuangalia saa haangalii kwenye simu yangu hahaha😂😂😂😂😂
 
shemeji yangu si mkeo au huko kwenu mnamuitaje
Haha mke wangu? Bado nina maisha mengi sana hadi kufikia hiyo hatua.

Huku kwetu, ungekuwa mwanaume ndio ungeitamka 'shemeji', nadhani ni hivyo pia huko kwenu, au mi ndio sijui kiswahili?
 
IKITOKEA WATU WAWILI WANAOPENDANA KIASILI WAKAJARIBU KUISHI PAMOJA,HAWATAMALIZA SIKU WATAGOMBANA........

back kwa topic,,km ni mwanaume heri uchague unaempenda kwasabb wanawake wameumbwa/wanaweza kufundishwa kupenda!!
km ni mwanamke sharti uende unapopendwa,kwasabb ni ngumu kumshawish men akupende!!

btw kazi ya mwanamke kutii na ya mwanaume kupenda masai dada
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom