Ungepewa nafasi uchague

Ungepewa nafasi uchague

IKITOKEA WATU WAWILI WANAOPENDANA KIASILI WAKAJARIBU KUISHI PAMOJA,HAWATAMALIZA SIKU WATAGOMBANA........

back kwa topic,,km ni mwanaume heri uchague unaempenda kwasabb wanawake wameumbwa/wanaweza kufundishwa kupenda!!
km ni mwanamke sharti uende unapopendwa,kwasabb ni ngumu kumshawish men akupende!!

btw kazi ya mwanamke kutii na ya mwanaume kupenda masai dada
umejibu vyema sana.thanx
 
Last edited by a moderator:
duh asee hao hua nawapotezea tu japo atakugandaaa ukiwaza unaona dah ngoja nimzingue aende kuna mmoja nilmdanganya mpo12 na ww ni wa 11 akaishiwa nguvu akaniacha kiulaini tu.

Hahahaha, not fair
 
Anaenipenda akiwa na hata kigezo kimoja tu kinanitosha sana,,ila kiukweli huwa napata wenye kigezo kimoja cha kunipenda tu lakini kimoja cha nyongeza hana.Kupenda ni kuzuri ila kuna maumivu mengi sana.
 
Ila utahitaji mda kumsoma,,na wakati unamsoma unaweza usimpe nafasi anayohitaji na labda na yeye akaona action zako hazimpendezi pia.

Kwani mtakutana siku hiyo hiyo na kuoana? You ll have time na time ll tell everthing.
 
Nina mtazamo tofauti...mwanamke atamtii mwanaume na mwanaume atampenda mwanamke
 
Wote humu mmechagua anayewapenda , ila kwenye uhalisia huwa mnawakimbilia wale mnaowapenda huku mkiwalilia na kamasi kuwatoka.
Tungefanya hayo mnayoyasema mbona vilio vya mapenzi vingepungua sana.
 
Kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini??

anaekupenda au unaempenda

Hapa inabidi kutumia akili zaidi kuliko hisia. Nitachagua anaenipenda.....nimburuzee
 
Wote humu mmechagua anayewapenda , ila kwenye uhalisia huwa mnawakimbilia wale mnaowapenda huku mkiwalilia na kamasi kuwatoka.
Tungefanya hayo mnayoyasema mbona vilio vya mapenzi vingepungua sana.
sana yaan vilio vingeisha
 
so hatutakiwi kupenda bali kutii

Ndio masai dada,ni misingi iliyowekwa na MUNGU na ndiyo iliyowekwa katika mioyo yetu kulingana na jinsia zetu,kila mtu akifanya kama alivyoagizwa basi matokeo yake huwa ni mazuri...
 
Last edited by a moderator:
Ndio masai dada,ni misingi iliyowekwa na MUNGU na ndiyo iliyowekwa katika mioyo yetu kulingana na jinsia zetu,kila mtu akifanya kama alivyoagizwa basi matokeo yake huwa ni mazuri...
okey mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kumpenda ndo mpango mzma, maana kuwa na mtu ucyempenda ni adhabu tu
 
Back
Top Bottom