Ungepewa nafasi uchague

Ungepewa nafasi uchague

bora anaenipenda ukipenda unakua mtumwa bt huyo anaenipenda akidhi terms and condition

mara nyingi hana vionjo vyako unakuta anakupenda tu na hana vigezo unavyotaka alichonacho ni kimoja tu kukupenda
 
Wengi tutasema atakaekupenda ndio utamuoa ila ukwel unabaki mapenzi upofu uwez kumfuata anaekupenda wakati huo kuna mtu ndio umempenda kupitiliza
 
duh asee hao hua nawapotezea tu japo atakugandaaa ukiwaza unaona dah ngoja nimzingue aende kuna mmoja nilmdanganya mpo12 na ww ni wa 11 akaishiwa nguvu akaniacha kiulaini tu.
 
ndo maana nasema eti kwa kuwa tu anakupenda haiwez kuwa reason ya wewe kumuacha unaempenda
 
Wengi tutasema atakaekupenda ndio utamuoa ila ukwel unabaki mapenzi upofu uwez kumfuata anaekupenda wakati huo kuna mtu ndio umempenda kupitiliza
na huu mara nyingi ndo ukweli
 
ndo maana nasema eti kwa kuwa tu anakupenda haiwez kuwa reason ya wewe kumuacha unaempenda

mh yaani mapenz smtime ni shida tu japo mm nikmpenda mtu akanisumbua nikipata mwenye viwango vya kumkarbia huyu anaenisumbua nampga chini uyo ninaempenda maana cku iz watu wakipendwa wana shobo za kipuuzi ad unashangaa. Sm time Maasai la kuvunda halina ubani au sio?
 
Mrudishie masai dada device yake tafadhali. Ana mada zake humu, hizi sio style yake kabisa.
 
Last edited by a moderator:
masai dada sku hizi maswali yako n ya utata mpaka nashindwa kukuelewa umepatwa na nn
 
Last edited by a moderator:
mh yaani mapenz smtime ni shida tu japo mm nikmpenda mtu akanisumbua nikipata mwenye viwango vya kumkarbia huyu anaenisumbua nampga chini uyo ninaempenda maana cku iz watu wakipendwa wana shobo za kipuuzi ad unashangaa. Sm time Maasai la kuvunda halina ubani au sio?
wanadamu huwa hawana shukrani ukimpenda kwa moyo lazima akuzingue
 
mi napenda nioe naempenda halafu yeye awe anapenda hela zangu ..........
 
Back
Top Bottom