KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,768
- 39,533
Mtoto anapozaliwa anakuwa bado hayajaanza maisha.........au bado ndio anaianza safari ya maisha.........mtoto anapozaliwa kilema anakua kapenda?
Mtoto anapozaliwa anakuwa bado hayajaanza maisha.........au bado ndio anaianza safari ya maisha.........mtoto anapozaliwa kilema anakua kapenda?
sio kila anaeishi maisha flan alipewa nafas ya kuchaguaMtoto anapozaliwa anakuwa bado hayajaanza maisha.........au bado ndio anaianza safari ya maisha.........
shemeji yangu si mkeo au huko kwenu mnamuitaje
Everyone get right to decide his/her destiny..........sio kila anaeishi maisha flan alipewa nafas ya kuchagua
unaweza kumuacha unaempenda kwa sababu ya anaekupenda?
anayenipenda maana yale maloveee yake najikuta nampenda
Jibu lako ni sahihi haswaaaaa hasa kwa hiyo Avater yako
vyovyote vile mradi tu kuwa nae
SINA IMANI NA UKAWA
Kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini??
anaekupenda au unaempenda
Binafsi napenda MTU anayenipenda na kumpenda Mungu ..that's it.. I believe hata kama hukumpenda MTU but akawa na Moyo Wa kumpenda Mungu na kumpenda muhusika iko siku muhusika atampenda tuu... Wanawake baadhi (wenye upendo wa kweli ) tuko very easy kupenda kama tukipata anayetupenda kwa dhati. So I prefer a man to fall in love so a woman can follow , it is better than a woman to fall in love first and then ended it up in Pain.. Mioyo ya baadhi ya wanaume ni migumu sana unless awe ana hofu ya Mungu ndani yake. Ni vigumu sana kumbadilisha mwanaume kuliko mwanammke dear.. At the end inakuwa vyema more than Sweet if wote mkipendana kwa dhati . Thanks..
â usije muacha uliyempenda kwa yule uliyemtamani,, kwa maana yule uliye mtamani siku moja atakuuache na kwenda kwa anayempenda... âââ me naona bora muwe mnapendana,, ndoa ya watu wanaopendana...
shemeji yangu si mkeo au huko kwenu mnamuitaje
Kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini?
Anaekupenda au unaempenda?
Hii mada so interesting kwa kwel. Haya maswala ya kupenda ni magumu sana na ni kitendawili kisichoteguka ata ukeshe Mara nyingi kupendana wote ni ngumu. "Unayempenda hakupendi, anayekupenda humpendi" loo so saad