kipepeo mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 244
- 71
never loose hope honey, single gentlemen tupo,
waonaje, tutoke basi!
Hahahaaaa
never loose hope honey, single gentlemen tupo,
waonaje, tutoke basi!
Sijajua yet mtoa uzi, let me try to dig somebody's swag kwanza...
Impressive is this a tongozo or something?? 🙄I can be your trap king and you can be my trap queen, ya dig....
Impressive is this a tongozo or something?? 🙄
I think let's go Pm...and see where it goes. 😎
Hahahaaaa
...mshikemshike ndege tunduni!
...tunasubiri manyoya sie!
Na yule babu je?
Wa kwangu anajijua tayari na kama akisoma hii mada atajikuta anatabasamu mwenyewe tu bila kupenda...yes you know who you are....my sugar cake....
Hamna kitu kama hicho mkuu hapa ni flirting tu nothing special...halitoki nyoya hapa!! bado naangalia mkuu who is the right one
teh teh teh teh...mi nliona ushajielekeza mwenyewe kibra,kilichobaki kunyonyolewa manyoya ya shingo uchinjwe!
..ndo nlikuwa nasubiri nione hayo manyoya mie!
Tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa JF ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana ungependa kutoka naye?
Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.
Hebu mtaje bana tumjue lol