Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,581
afu siuoni ule uzi ushatupwa jalalani nini??
Kwelii lol
afu siuoni ule uzi ushatupwa jalalani nini??
Pole Comrade! Sikutegemea yatafika huko!
samahani mzee kama nilivyokwambia awali nilikosea nikadhani we ni mwanamke ndio mana nikakutaja miongoni mwa wale lakini nilivyojua ndo nikasema basi nimekosea kukutaja waliobakia ni evelyn salt na dinazarde no hard feelings mzee mistakes happen
dinazarde mbna wapenda kunrusha roho juu juu km kitenesii!.,dina c ni shot4m ya dinazarde dia!
Mimi nitatoka mwenyewe, manake kila utakaemgusa hapa atakwambia ''mi ni wa excell king''.
Utatuweza wote nane?
Nimejaa tele kaka mkubwa
Preta bilionea njoo unaitwa hukuJamani preta yupo wapi watu wameshapagawa na wewe huku jamani kabla ya yote je Preta mwenyewe ni msichana/Mwanamke tusije kuwa twamgombania kumbe ni kidume kimekaa pembe kinatuchora!! maana mi mwenyewe namkubali kiana preta kwa swagaz alizonazo!!
Preta jitokezee ful kudatisha wanajf jukwaani huku!!
Tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa JF ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana naye kiasi cha kama ungeweza au ingewezekana ungependa kutoka naye?
Hii mada ni kwa wote...akina dada pamoja na akina kaka. Haina maana kwamba ukisema ningependa kutoka na fulani basi huyo fulani ndio adhanie kuwa tayari umeshamkubalia
kutoka naye. Si hivyo hata kidogo ingawa kama wenyewe mkija mkielewana kihivyo baadaye basi hiyo itakuwa ni juu yenu.[/
QUOTE]