Unforgettable death events...!

Unforgettable death events...!

My own father
died in 1989
rest in peace
mr.joseph james msofe

Pole Sana ni Miaka Mingi Bila Mzazi mkuu...R.I.P baba yake Flora
Dah! Kuna Rafiki yangu ana jina kama la Mzazi wako inawezekana mkawa wajamaa na Joe!
 
mshkaji wangu mmoja alikuwa mzima wa afya siku moja alikuwa anafua!katika harakati za kuanika nguo kumbe ule waya wa kuanikia nguo ulikuwa una shot!!!anaanika nguo akapigwa shot na kufariki papo hapo uani kwao mbele ya dada zake na ndugu zake waliokuwa uani wakati anafua huku akipiga nao story!
 
pole sana ni miaka mingi bila mzazi mkuu...r.i.p baba yake flora
dah! Kuna rafiki yangu ana jina kama la mzazi wako inawezekana mkawa wajamaa na joe!

inawezekana bhana
ni pm nipate kujua
anaitwaje ili nimuhoji bi mkubwa bhana
 
Back
Top Bottom