ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #81
sijui kama umewahi kusoma hii kitu na unajua mwandishi alikuwa anamaanisha nini hapa? :"lile jiwe walilolikataa waashi ndio jiwe kuu la pembeni"
wakati mwinginne ni burudani na wakati mwingine ni mafundisho pia ila yategemea yamekukuta katika mazingira gani au yako katika mazingira tunayoishi sasa best