Unemployed Man Got Married against Friends Advise..

Unemployed Man Got Married against Friends Advise..

avatar yako inaleta majaribu kidogo
Mimi sipingi kama ilitokea au lah ila kutumia hii story kureflect mahusiano ya miaka ya leo ndio kitu nachopinga japo kwa asilimia chache sana kinawezekana..

Honestly, marafiki ni threat kubwa sana kwenye mahusiano sanasana kwa nyie wadada, ni vyema kufanya kitu kama moyo wako unakubaliana nacho na si kwa kuangalia marafiki..
 
Mhhh touching story ila ladyfurahia haya mambo sidhani hawa wadada wa kidigital watakubaliana na haya mambo ya kuoana na mwanaume goal keeper ambaye hajui ni lini atapata kazi
Na kweli kwa upande mwingine kulikuwa na true love between the guy and the lady maana kufikia kutoa mshahara wake kumpa mwanaume akae nao wakati anajua kuwa he can still use the money kwenye ufuska kama angeamua was hard decision
Ila swali wapo kama hao kwa kizazi hiki cha digital hebu grafani11 na HorsePower na mwalimu wangu gfsonwin waniambie na kaka SnowBall na Bishanga na Asprin waseme hapa

Napenda nikuapie kwa jina la Mungu kuwa hao wa namna hiyo hawapo dunia hii. Period!!
 
Mkuu grafani11 hapo sikubaliani na wewe
Wanasema avatar nyingi zinareflect hali halisi ya wahusika na inawezekana hata kwako hapo
Ukifungua shule/chuo mimi nitakuwa wa kwanza kumleta mtoto wangu kwa gharama yoyote sina shaka atapata malezi na elimu iliyo bora kabisa, mkuu nimeona kipaji chako cha saikolojia. 100%
 
Mhhh touching story ila ladyfurahia haya mambo sidhani hawa wadada wa kidigital watakubaliana na haya mambo ya kuoana na mwanaume goal keeper ambaye hajui ni lini atapata kazi
Na kweli kwa upande mwingine kulikuwa na true love between the guy and the lady maana kufikia kutoa mshahara wake kumpa mwanaume akae nao wakati anajua kuwa he can still use the money kwenye ufuska kama angeamua was hard decision
Ila swali wapo kama hao kwa kizazi hiki cha digital hebu grafani11 na HorsePower na mwalimu wangu gfsonwin waniambie na kaka SnowBall na Bishanga na Asprin waseme hapa

Nimesoma hiyo thread nikasema kwa wale ndugu zangu wadada ambao mapenzi kwao ni pesa kwanza, wanapaswa kujifunza kutoka kwa huyo dada. Pesa huwa ni matokeo tu lakini sijui kwa nini sasa hivi pesa ndo imewekwa mbele hata kwa mambo muhimu na sensitive kama mapenzi!
 
Hay my friendly;

My frendo share this real life story if you love it

**"You can't be paying the bills for him and still be doing all the work in the House". - wife's friends advised.
A Guy who has no job got married to a banker, despite his fears and several advices that it's not good to marry without a job. Every month the girl would give the guy her full salary of N135k after removing her tithe.

The guy would give the wife N20k for personal upkeep and the guy determined what happened to the remaining money. This happened for three good years. There was happiness in the family and the wife never refused to do her primary home duties for that 3 years, despite wrong advice from friends that 'you can't be paying the bills and still be doing all the work'.

There was a particular month the guy used about N70,000 to travel from state to state for different interviews. He finally got a job with a good firm in Port-Harcourt. His salary was N600,000 monthly for a start. He bought his first car (a brand new) for N4.5m, he gaved wife the car key, and continued to take public transport to work for about two years.

View attachment 106786"real love "

Then he bought the second car for N6 million. Then he took the keys of the first car and gave his wife the keys of the second car. They were very happy. They eventually moved into their own house after few years. One day, the wife was looking for some documents. Then she stumbled on a file neatly hidden, when she opened it, she saw her wedding picture when she was very slim in the first page of the file.

She then saw that the document to the purchase of the land and every other thing in the house were all written in her name! At the last page was the husband's wedding picture and a note written by him:
''MY WIFE IS ALL I HAVE GOT. NOT EVEN THIS HOUSE WORTH N24M AT THE TIME I BUILT IT IS MINE''.

Tears started to roll down her eyes as tried to put the documents neatly as she saw them and walked back to the kitchen. This couple got married in 1998. Last Sunday was their wedding anniversary with three children, two boys and a girl.

True LOVE still exists till this day. Are you sure the love you have for your partner can be compared to this one you just read? No matter what, remember you chose each other. So share. It doesn't matter who puts food on the table.

cc: Mamndenyi, Nicas Mtei, Passion Lady, sweetlady, FirstLady, charminglady, Lady doctor, Heaven on earth, heaven on desert, Smile, amu, Asprin, Mtambuzi, kabanga, Mwita Maranya, Ruttashobolwa, Mr Rocky, Arushaone, Filipo, LiverpoolF, Mentor, KakaKiiza, Kipaji Halisi, stevoh, The secretary, Bishanga, kokuTUNA, cacico, gfsonwin, snowhite, lara 1, Himidini, Donn, Erickb52, Bujibuji, watu8, na maarafiki wengine niliosahau majina yenu nawapenda.

Ndi kwakweli is gud Mmm Mmm Lakini umeandika kwa kikristo na mimi ni mohammed al shabaab sasa naomba msaada kama mtu ana kaprogram ka kukomvet ili nijue kilichoandikwe teh teh teh. Lakini stoli nzuli sana kwa kweli nimeipenda.
 
Last edited by a moderator:
Napenda nikuapie kwa jina la Mungu kuwa hao wa namna hiyo hawapo dunia hii. Period!!

Mkuu Asprin afadhali kabisa umeona hilo na huo ndio ukweli halisi mkuu

Ukifungua shule/chuo mimi nitakuwa wa kwanza kumleta mtoto wangu kwa gharama yoyote sina shaka atapata malezi na elimu iliyo bora kabisa, mkuu nimeona kipaji chako cha saikolojia. 100%

Dah mkuu grafani11 dah nashindwa niseme nini ila nitakutafuta baadae
 
Last edited by a moderator:
True love!!labda kwenye movies wengine tushaamua kustaafu mapema!
 
True love!!labda kwenye movies wengine tushaamua kustaafu mapema!
 
when you fall in love at this time you will understand it where do you stand when things goes wrongly.
 
Yaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake

We acha tu yataka Moyo !!
 
Back
Top Bottom