Unajaribu kulenga jiwe kwangu lakini wenye macho watakuwa wameona unamlenga nani, mimi nilijaribu kuwajibu wale wanaompinga mkuu Rocky wakati wanaelewa ukweli ndiyo huo.ndugu yangu acha kuangalia kwa macho ya kimwili angalia na penda mtu kwa macho ya kiroho kwani hujui kuwa ipo siku pochi litakauka kama maji matulivu yaliyokisimani? sasa hapo patajidhihirisha upendowa kweli ni upi ni ule wa pochi zenye hela au asiye nacho
SASA UNABISHA?
Hiyo picha mbona kama huyo mkaka anataka kunawa halafu na huyo mdada kama anamgandamiza zaidi vile. Kumbe mnapenda kutomaswa embe dodo kwa nje eeeeh?
Unajaribu kulenga jiwe kwangu lakini wenye macho watakuwa wameona unamlenga nani, mimi nilijaribu kuwajibu wale wanaompinga mkuu Rocky wakati wanaelewa ukweli ndiyo huo.
Ukifuatilia kwa makini hapo juu utauona ukweli uko wapi.
Inawezekana kweli mimi ni mshamba, wakati sisi tunaoa tulikuwa tunafanyia sherehe kwenye viunga vya kanisani hapo hapo, siku hizi nyinyi mpaka muende beach au pale mlimani city mkajianike ili mpigwe picha baada ya hapo kwenye makumbi mengine ya Baa, mengine ya disko ilimradi ni kiwanja cha ibilisi cha kujidai kila siku sis tutawaweza wapi.
Ndiyo maana ndoa za watu siku hizi zinalega lega kwa kuwa walianza na shetani badala ya Mungu.
jamaa alibahatisha kuipenda nafsi yake na kutimiza matakwa much as hatujaambiwa makandokando ya jamaa na mkewe tuchukulie kuwa wameweza!!!!
Vipi kama bibie alikuwa akipewa supliments na mdau mwingine na jamaa kazaa nje ila still picha iko kama hivyo!!!!
sipingani na hiki unachosema, ila nadhani hujanielewa vizuri. Maana yangu ni kwamba wakiandika mr and mrs ni nzuri zaidi kwani wote ni wamiliki kisheria regardless nani atatwaliwa mapema. Kumwandika mamsapu peke yake inamaana jamaa amejivua umiliki kisheria.
Kwani nimebisha mkuu, nilikubali ndoa zenu za siku hizi ni tofauti na za kwetu siku hizi watu wanapigana mpaka lita hadharani mbele ya watoto. Si ndiyo ukisasa huo mnaoutaka kwani nabisha.ngoja nikupe picture ambazo niliwafungisha NDOA zao hivi karibuni na uone style mbalimbali maana yaelekea wewe ni mshamba sana ona hapa sasa:
View attachment 106798 View attachment 106799 View attachment 106800 View attachment 106802
hadi wazungu wamekuja pale uparokiani kufungishwa ndoa na mama paroko upo hapo ona hapa:
View attachment 106803 View attachment 106804 View attachment 106805 View attachment 106806 SASA UNABISHA?
Ukiona mpaka lugha za asili zinaongelewa humu ujue pengine kuna watu wenye mishale wanaalikwa waje kunishughulikia. Ngoja nitoe kitu changu chenye ncha kali na tindikali ziwe standby.jamani jamani jamani jamani mweee imbombo sibhele @JounGwalu isagha kuno, grafani11 anasema mambo ya kisasa yako kwenye NDOA za siku hizi, sio mm lakini
Ukiona mpala lugha za asili zinaongelewa humu ujue pengine kuna watu wenye mishale wanaalikwa waje kunishughulikia. Ngoja nitoe kitu changu chenye ncha kali na tindikali ziwe standby.
Ukiona mpala lugha za asili zinaongelewa humu ujue pengine kuna watu wenye mishale wanaalikwa waje kunishughulikia. Ngoja nitoe kitu changu chenye ncha kali na tindikali ziwe standby.
Chidumule aliwahi kuimba, "usitumie pesa kama fimbo mama mambo ya penzi yataka kwanza maelewano hapo ndipo pesa huwa na thamaniiiii...."sasa mtu anapenda pesa kama Bishanga, Mwita Maranya kuliko utu wa mtu jamani naona hata wewe utazipenda kama ukimpata mtu atakayekupa hizi View attachment 106811
nipo break na mapenzi yamenishinda mie.....
Mmmhh ladyfurahia na hiyo avatar yako jamani!!
Kastory katamuuu sana.
Yah kuna stori nyingi sana za mapenzi ya ukweli na ya kuogopesha.
Ukipata mwanamke wa hivyo hakika umepata kila kitu maishani.
Kuna stori iliwahi kuletwa hapa na either BAK au The Finest juu ya wapenzi wazee ambapo babu alibaki na penzi lilelile kwa bibi kwa zaidi ya miaka 5 wakati bibi kapoteza kumbukumbu.
Ni stori ambayo siwezi kuisahau na ilinisisimua sana.
Kuna vingine tunajifunza na vingine vinabaki burudani za jamvini tu.