Unemployed Man Got Married against Friends Advise..

yaani ujakosea bestito kwani vijana wa siku hizi wanataka kulelewa kama mayai, hawajui wajibu wao kabisa kwamba wao ndo vichwa na sisi ni wasaidizi tu kwao, ni wavivu wasiowajibika wala kujituma kwa nguvu zao
kazi yao kubwa ni kubwabwaja tu humu mjengoni kuliko kutafuta riziki.

cc: Bujibuji, stevoh, Ruttashobolwa, Ben Saanane

Huyo anataka kulelewa.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
huu ni mfano tosha na halisi ambao umeutoa hapa ili kuwakumbusha wale ambao wanasema kuwa 100% hakuna wadada kama hao
For sure mkuu. Kila nikienda kuwatembelea dada ni mnyenyekevu kuliko kawaida. Huwa nashindwa kumuelewa yule dada, lakini ni wachache mno hao. Na amekuwa akimpa moyo sana jamaa asikate tama, aendelee kufight hivyo hivyo!
 
Sio kwa 1% bali ni 50% kwa 50% jamani mbona mnachakachua ?
mkuu hongera kwa kuiona asilimia moja kwa mia (1%) aliyoisema mkuu rocky katika moja ya threads zake kwenye hoja hii hii. Hao wapo lakini kwa asilimia hiyo hapo juu.
 
Sio kwa 1% bali ni 50% kwa 50% jamani mbona mnachakachua ?
Mtaani kwako ni wanaume wangapi wameoa magolikipa na bado maisha yanaendelea mbele tena kwa amani na upendo. Hilo lilikuwepo toka zamani na wanaume hatukuleta uzi hapa lakini wenzetu kidogo tu mpaka Mungu hapumziki huko alipo kuwasikiliza nyinyi mkilalamika eti wanaume tegemezi.

Lakini beijing mlipokwenda mlikuja na kauli mbiu ya Gender Equality, sasa sijui ni katika mambo yote au ni katika baadhi ya mambo na nyadhifa fulani fulani tu. Maana hata gari likisumbua njiani halafu ukawa na mamsapu au mwanamke yeyote uliyempa lifti dereva mwanaume utashuka yeye utamkuta anasoma kitabu/udaku, au anarekebisha nywele kwenye kioo ndani ya gari.. Hii nayo vipi?
 
hata useme vipi wanawake tutabaki kuwa wanawake tu na wanaume watabaki kuwa wanaume tu na wao ni wawajibikaji sisi niwasaidizi tu kwao

Nashukuru kwa kuwakosoa wenzako wanaopigia debe kauli za usawa kwenye majukwaa wakati hazitekelezeki.

Hahahahahaaaaaaaaaaa. Wanaume tutabaki vichwa na kamwe hatutalinganishwa na kiwiliwili, ni kinyume na maandiko matakatifu.
 
nilikuwa nakutega hapo kumbe hujui kuwa sisi ndo vichwa na nyie ndo viwilviwili kwa nyakati hizi maana nyie siku hizi mmebaki kuombaomba kwa wanawake tu hadi kufuri la ndani mwataka mnunuliwe hamuoni aibu hiyo

Unamtega Simba na mtego wa sungura utaumia. Nakupa pole kwa kuwa na mume bw.ege kiasi hicho mpaka kufuli anakuomba mnunulie. Ukiona hivyo basi ujue ulifanya kosa kwenye uchaguzi wako, sasa kama umebeba msalaba usifikiri kila mtu amebeba msalaba kama wewe huo ni wako na wenzako wachache wanaokusapoti. Poleni
 
nawasema nyie hasa wewe ambaye kilakitu afanye mkeo, ulikuwa hujioni jinsi ulivyo
haaaa hahaaa haaahhaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiii
kwa taarifa yako mume wangu ni mchapakazi tena na isitoshe
yeye huwa ananihudumia mm nakushangaa wewe ulivyo ----- mtozeni uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Kwa kauli zako hizi mbili tu wenye busara wamekwisha kuelewa ukoje.

1. Hujatulia na huna mmoja unao wengi na kati ya hao kunasiku uliingia mkenge kwa kijana wa mtaani akijua wewe ni mke wa mtu hivyo utamuhudumia kwa kila kitu. Sasa kwa mantiki hiyo ukajua kila mwanaume humu duniani ni sawa na kiserengeti boy chako. Halafu ulivyo na fikra zinazokusaidia kuvuka barabara tu hujui unajianika ulivyo wewe. Wenzio huwa wanaongelea kwa asilimia/baadhi kama ilivyo bungeni lakini ukijumuisha wote ina maana umeshatembea au kukaa kinyumba na wanaume wote humu ndani?

2. Unaposema hasa mimi na mke wangu kila kitu afanye yeye, je akitokea mtu humu na kusema kuwa nilishakugegeda halafu sikukupa mafao ndio maana unanishambulia binafsi bila kunijua utasemaje?

Japo umeondoa ile avatar yako ya John Cena baada ya wadau humu kukuchambua, inabidi uirudishe maana ndiyo inayokufaa.
 
Mungu akusaidie na akurehemu bure naona unalo unalonitafuta

Back
Top Bottom