Unemployed Man Got Married against Friends Advise..

Last edited by a moderator:
Yaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
 
Mkuu wakati mwingine yapo kwa kigezo cha kuwa kuwa houseboy/housekeeper and nothing else.

honestly mapenzi mapenzi kabisa bwana ...mmmh hata huwa sielewi ...ila ukitaka kujua rafiki wa kweli pata shida aiseee ......who cares? utakufa mwenyewe
Smile na grafani11 mapenzi ni mapenzi na ndio maana yakaitwa mapenzi baina ya watu wawili wa jinsia tofauti na ukitaka kujua utamu na uchungu wake ni pale upo kati kati ya dimbwi la mapenzi
Ila muhimu ni kujua kuwa hao wa aina ya huyo dada kuwapata ni ngumu sana miongoni mwa mia utapata mmoja tuu ambaye atatimiza vigezo hivyo ila uhalisia ni kwamba hawategemei umpeleke kwako akukute mtu mwenyewe mizinguo hujui kesho unaamkaje wala unalipa vipi kodi ya nyumba
Hujui atavaaa nini au atatengeneza nywele zake na kitu gani
Au hajui hata kula yake kama ni ya uhakika
 
Last edited by a moderator:
ina neno hili (makalio) ss.jpg
Kwa nini mkuu?
 
ndo maisha hayo bestito kwani usilolitarajia laweza kukujia pasipo jikuta kama huyo mdada
Yaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
 
Yaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
Khakhi ndo uhalisia huo
Pole sana kwa kuumizwa ila haya huwa yanaishia kwenye hali kama hiyo
hakuna jema kwa binadam chini ya jua hili
 
Last edited by a moderator:
Yaani nlikuwa nasoma hi stori machozi yakinitoka i once had a similar life story but mambo yalibadilika baada ya yeye kupata kaz hali ikawa si hali, jaman this people are not to trust wanaweza kukuuwa kwa presha na sukari God have mercy kwake
duuuh yaani hakuna kitu kinauma ama mpenzi akuache na maumivu ya mapenzi na hasara za kifwedha juu ? pole sana
 
Smile na grafani11 mapenzi ni mapenzi na ndio maana yakaitwa mapenzi baina ya watu wawili wa jinsia tofauti na ukitaka kujua utamu na uchungu wake ni pale upo kati kati ya dimbwi la mapenzi
Ila muhimu ni kujua kuwa hao wa aina ya huyo dada kuwapata ni ngumu sana miongoni mwa mia utapata mmoja tuu ambaye atatimiza vigezo hivyo ila uhalisia ni kwamba hawategemei umpeleke kwako akukute mtu mwenyewe mizinguo hujui kesho unaamkaje wala unalipa vipi kodi ya nyumba
Hujui atavaaa nini au atatengeneza nywele zake na kitu gani
Au hajui hata kula yake kama ni ya uhakika
Nashukuru mkuu Rocky hapo kwenye rangi mkolezo kwa kumwelewesha dada Ladyfurahia. Nafikiri sasa atakuwa ameipata pointi yangu pale juu.
 
Wanawake wa aina hii ni vigumu kuwapata siku hizi

Ni kama vile uokote mfuko wa hela

MAY MY LOVELY GOD BLESS THEM!!!!!!!!!!!!!!!
 
wapo wachache sana wanaoweza kuwa kama huyo dada...

Ila pamoja na hayo sikuona logic ya jamaa kumwandikisha mali zote, why not Mr and Mrs.....?
 
Hapa lazima nibishe katika 100% wako wadada wa aina hiyo 20 au 50% hivi jamani

Ina maana wadada wote duniani hapatikane 1% tu punje ya haladai nakataa

Back
Top Bottom