Unemployed Man Got Married against Friends Advise..

NIMEIPENDA HII SIGN YAKO BEST HEBU SOMA NAWE KWA MAKINI HAPA: "embu jaribu uishi maisha yako halisi uone kama hautafanikiwa..
acha kuiga..
mtangulize Mungu atakushindia.."
when you fall in love at this time you will understand it where do you stand when things goes wrongly.
 
Kwa hiyo avatar yangu inaleta uhalisia kimtazamo au?
Nikimtafakari John Cena na ubabe wake ulingoni napata picha fulani ya mbeba picha. Ingawaje ile ya awali ilikuwa na mvuto wake kulingana na michango yako, lakini toka ulivyoanza kuwa mbishi ukaone na avatar uibadili kabisa.Mwaka huu tusipoomba msamaha yanaweza kutukuta yaliyomkuta Randy Orton.

Kama nimekosea ladyfurahia unaweza kunirekebisha.
 
hehehehehehehehehheeeeeeeeeee jamani umenichekeshaje best? kwa mtazamo wako wa sasa kwani nimebadilika eti? au nimekuwaje?

Wala hujanikosea wasema mawazo yako yaliyo moyoni uenda yanaweza kunifanya niwe km zamani vileee
Nikimtafakari John Cena na ubabe wake ulingoni napata picha fulani ya mbeba picha. Ingawaje ile ya awali ilikuwa na mvuto wake kulingana na michango yako, lakini toka ulivyoanza kuwa mbishi ukaone na avatar uibadili kabisa.Mwaka huu tusipoomba msamaha yanaweza kutukuta yaliyomkuta Randy Orton.

Kama nimekosea ladyfurahia unaweza kunirekebisha.
 
na hao wanaume wa siku hizi mna mapenzi ya kusaidia wake zenu magoal keeper kwa moyo? mbona wanaume naona wanatafuta tu wamama wanaojiweza....watu ni wabinafsi kweli siku hizi kwa pande zote

Madam,
Mbona makavu makavu? Mapenzi hayachagui kipato
 
ameongea lake la moyoni kwani wanaume wa siku hizi mmekuwa mwanaume suruali na sio mwanaume mtafutaji/muwajibikaji
Kwani Mungu kumuumba kiumbe mme wa kwanza alikuwa hana makusudi naye?
alikuwa na makusudi yake kuwaumba wa kwanza kwani nyie ndo mwawajibikaji
na sisi ni wasaidizi tu pale inaposhindikana katika familia.

hata signature yako yasema hivyohivyo wewe uone hapa nimepaste: A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!

Ni kweli kabisa. Suala ni kwamba, mlipoumbwa wasaidizi, jukumu lenu ni kuwasaidia wanaume pale wanapokuwa kwenye hali zote, shida na raha. Tukiwa na shida hamuishi kutukimbia. Huyu wa kwenye hii stori ni kwamba alimsaidia mpenziwe alipokuwa bondeni (kwenye shida), lakini baada ya mwenzake kutoka bondeni wakasimama pamoja tena kujiweka vizuri kama familia. Hii ndio inayotakiwa.

Hayo ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo!
 
Naomba uniambie hicho kitu pls? Kwani kuna ubaya gani nami nikijua best?
mwenyewe anajua kunakitu alisema humuhumu kuwa bado kipo. Watu tukashangaa mpaka sasa kipo vipi? Akiniruhusu kukitaja nitakwambia.
 
Mhm1 haya bhana wewe wasema
Ni kweli kabisa. Suala ni kwamba, mlipoumbwa wasaidizi, jukumu lenu ni kuwasaidia wanaume pale wanapokuwa kwenye hali zote, shida na raha. Tukiwa na shida hamuishi kutukimbia. Huyu wa kwenye hii stori ni kwamba alimsaidia mpenziwe alipokuwa bondeni (kwenye shida), lakini baada ya mwenzake kutoka bondeni wakasimama pamoja tena kujiweka vizuri kama familia. Hii ndio inayotakiwa.

Hayo ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo!
 
Mkuu grafani11 mapenzi ya kweli kwa hali halisi hayapo na eti utegemee unamuoa mwanamke huna kazi huna kipato wakati yeye ana kipato useme utegemee mshahara wake au afanye kama alivyofanya huyo dada hapo ni pagumu

Mkuu wapo, na nimeshuhudia kwa jamaa yangu hapa Dar. Wameoana toka mwaka 2011, na jamaa hana kazi japo huwa anapata deal za hapa na pale. Wife wake alichofanya ni kumkabidhi ATM, mshahara ukiingia jamaa ndo anatoa na kupanga matumizi. They are so happy!
 
MESTOD ndo maana tunasema ni wachache sana ambao unaweza pata wa kufanya hivyo mkuu
Yaani ni wa kutafuta na sio wa kumkuta maana wanawake wa kidigital haawa ni ngumu sana mkuu
Shukuru Mungu sana ukikutana na mwanamke kama huyo maishani mwako
 
Last edited by a moderator:

For sure mkuu. Kila nikienda kuwatembelea dada ni mnyenyekevu kuliko kawaida. Huwa nashindwa kumuelewa yule dada, lakini ni wachache mno hao. Na amekuwa akimpa moyo sana jamaa asikate tama, aendelee kufight hivyo hivyo!
 
Dah mkuu MESTOD hao na hiyo familia ni ya mfano mkuu yaani unaona maisha halisi ya familia na hapo huwezi kuta mume anatumia pesa ya mkewe kwenye masuala ya ufuska au starehe na watakuwa wanapanga namna ya kutumia kile kinachopatikana
 
Last edited by a moderator:
na hao wanaume wa siku hizi mna mapenzi ya kusaidia wake zenu magoal keeper kwa moyo? mbona wanaume naona wanatafuta tu wamama wanaojiweza....watu ni wabinafsi kweli siku hizi kwa pande zote

Hao wanaotafuta majimama ni wavulana siyo wanaume, wanawake wa hapa kwetu lazima wakuseme maana wameshazoea kupewa wao hata haki sawa wanazozidai ikifika hapa huwa wanaziweka pembeni.......
 
^^
Real love wanaijua wazungu,,huku kwetu ukiipata basi ujue nyota ya jaha imekuangukia.
ladyfurahia hii ni simulizi nzuri kwa wanaume lakini yenye kutiliwa shaka na wanawake.
^^
 
Last edited by a moderator:
ona huyu aliyeandika hii post yake samahani kama itakuboa :nimeona niipaste hapa haya ndo mambo nisiyoyataka huwezi penda mtu kwa tamaa za kimwili tu yani kuangalia uwezo wa kipesa alionao ona hii sasa:

[lengo langu ni kuomba dada mmoja mrembo mwenye vigezo vifuatavyo niwe nae mpaka mwisho wa dunia hii ya mwenyezi mungu:
>>awe na imani sana kwa yesu kristo ,yaani mshika maandiko.
>>awe ana elimu kuanzia diploma kwenda juu kwa fani yeyote.
>>awe ameajiriwa na anakipato kama mimi nilivyo na kipato.
>>awe anaishi kwake si tegemezi tena, mwenye uhuru wa kimaisha kama mtu mzima.
>>awe si mfupi bali wa wastani au mrefu
>>awe mrembo wa sura na asiwe mweusi hata kidogo.
>>awe na umbo zuri.

cc😡Mtambuzi, Ruttashobolwa, Asprin, Chimbuvu, Madame B, madameA, Bujibuji (rudi kwenu), watu8
QUOTE=g
rafani11;7062251]Unajaribu kulenga jiwe kwangu lakini wenye macho watakuwa wameona unamlenga nani, mimi nilijaribu kuwajibu wale wanaompinga mkuu Rocky wakati wanaelewa ukweli ndiyo huo.

Ukifuatilia kwa makini hapo juu utauona ukweli uko wapi.
[/QUOTE]

Huyo anataka kulelewa.
 
Mkuu wapo, na nimeshuhudia kwa jamaa yangu hapa Dar. Wameoana toka mwaka 2011, na jamaa hana kazi japo huwa anapata deal za hapa na pale. Wife wake alichofanya ni kumkabidhi ATM, mshahara ukiingia jamaa ndo anatoa na kupanga matumizi. They are so happy!
Mkuu hongera kwa kuiona asilimia moja kwa mia (1%) aliyoisema mkuu Rocky katika moja ya threads zake kwenye hoja hii hii. Hao wapo lakini kwa asilimia hiyo hapo juu.
 
Back
Top Bottom