Undumilakuwili wa JF Members

There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Inaelekea hujui jf ni nini haswa!
 
Mkuu tupo pamojaa!
Mimi nitaanza mashambulizi kwanziaa winga ya kushoto,wale wote waaribifu wa mali za umma kwa wanakiita maandamano tutakula nao sahani moja hapa Jf.!!
 
Inaelekea hujui jf ni nini haswa!
Unaakili kiasi,japo wakati mwingine uchawa unakuzidi,naomba tuungane pamoja na tukisema lugha moja
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Mbona hata hata anayehamasisha watu kujihami dhidi ya vyombo vya dola vinavyotumika kukandamiza na kunyi,ma haki za raia naye yuko sawa tu kila mtu anayo haki ya kuunga mkono mkono pande anayotaka wewe unataka wote tuwe na mrengo mmoja wa kuwa uppande wa wadhalimu wanaotumia vibaya vyombo vya dola, haiwezakani kabisa usitupangia pande ya ya kuunga mkono.
 
Hoja yako yenye mashiko 100% kwa mtazamo wako. Democracy ni kukubali tofauti zetu. Sina mjadala juu ya mawazo mbadala, na CCM kutolewa madarakani ni moja kati ya ndoto nilizonazo. Lakini sikubali hata siku moja kutumia njia iliyotumiwa 0ktoba 29- Novemba 6.
Kukitumia kikundi hicho na wadau hao pamoja na wafadhili hao tutapata matokeo Hasi, hasi, hasi. Ni bora kuishi na zimwi likujualo kuliko hawa mabwenyenye usiowajua. Eti M.K ndio atuongeze toka marekani, hajawahi kuwa TZ kwa miaka dahli! No, no, no. Hivyo ni bora kuendelea na Rais Samia kuliko kucheza bahati nasibu. Msichezee utulivu wa watu 60 milioni. Ni hatari!!!!!!! TAFAKARINI!
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Ni watu 23 elfu, laki moja au 200 mimi sijui. sina chombo kilichokuja na takwimu halisi. Pengine ungetueleza mwenzetu umezipataje hizo namba? Au ndio toka kwa M. K au Madowo! Hawa wote wanatoka nchi moja kwa mfadhili mmoja. Ok.
Ninachoweza kukueleza ni kimoja tu. Ukipanga kuleta maandamano na kuchoma miundo mbinu anayetumia mlala hoi, usitegemee mazuri yeyote. Sijui nyie mlitegemea nini?

Ndio maana sikubaliani na maandamano ya mtindo huo, yanamadhara zaidi kuliko uponyaji.
 
Pia ninajambo nataka kuongezea,haya majira siyo yenu tena,heri tuungane na tuseme lugha moja kuu ambayo
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Ndo huyo unamkuta analalamikia VIFO akisahau kuwa yeye kahusika pakubwa kusababisha hivyo vifo


Ndo maana Mimi kwa sasa

I'm half man half mammal.

Hatuwezi Ku -play soft game na hawa watoto wa JF.
Nimeikubali hii,hii ni super come back
 
Nimeipenda hii, wataelewa tu,tuwape muda
 
Maoni mazuri sana bro
 
Nimeikubali hii,hii ni super come back
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Maoni mazuri sana bro
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
uteke,uue watu na kuiba uchaguzi then unaongelea amani bila kurekebisha au kuongelea hayo matatizo ni mambo ya kipuuzi, kiufupi ni kutaka kufunga watu midomo na kuendelea uhuni wenu,hamna akili nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…