Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Hivi hili vazi la underskirt au gagulo limeishia wapi? Manake naona siku hizi nguo wanazoaa dada zetu zimekuwa transparent mno kiasi cha kuhitaji gagulo kuhifadhi maungo yao.wengine siku hizi wanavaa vikamba tu na kudai kuwa nazo pia zinasitiri.mi nilizoea miaka yetu ile tuko skuli mdada kavaa sketi yake safi lakini kuna la nguo kwa ndani linaning'inia.siku hizi wengine hata hizo nguo za ndani hazivaliwi