malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 968
- 1,343
Kimitego zaid....
Tunavaa shumizi au sken tait..........kuna shider..........
Hawa ndio wenye kufaulu!
Haya mavazi ya kujifunika gubi gubi yanawafanya waislamu wengi kuoa wanawake wabovu. shapu mbaya. tabia mbaya na sura mbaya. kwasababu wananunua mbuzi kwenye gunia
Kweli mabinti wengi hawana gagulo, me binafsi navaa kwenye nguo za kuangazaa siku nyingine ni pichuuu tupu
Dada tuwekee picha tutathmini maelezo yako..samahani lakini
Mbona unasemea mioyo ya wenzako sema unataka kuona
Tuma mpesa na picha itakuja
karibu ulimwengu wa digital mkuu!
Mmmh. SAsa na hizi fashion tunazoenda nazo sawa gagulo tutayavalia wapi? Example mini skirt
pia wataalamu wanasema kapapuchi kapate hewa sio kukafunikafunika tuuuu wakati wote
Maungo yenyewe yanachunguliwa hadi na vipofu! Gagulo ama underskirt Ni za nini sasa? Hakuna sehemu za siri siku hizi, acha tujinafasi