Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

Kwa ujuaji wangu kuhusiana na watu hawa wawili kwenye Thready hii inayowahusu Muheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ni kua watu hawa wanashabihiana sana hembu cheki hapa:
  1. Mbowe na Dr. Slaa ni wacha Mungu.
  2. Wanawajali na kuwastahi watu.
  3. Wanapenda haki na kuwajali wanyonge.
  4. Wanaijua na kuitetea katiba ya nchi na sheria ambayo wanataka ifanyiwe marekebisho kwa maslahi ya Watanzania wote.
  5. Ni wakweli wa maneno na vitendo.
  6. Wanashirikiana na Watanzania wote bila ubaguzi.
  7. Wanauwezo wakuongoza kwa upeo na upana.
  8. Wanapenda amani na utulivu.
  9. Ni waadilifu na wachapa kazi.
  10. Wanalipenda taifa lao.
 
WanaJF,

Ni ukweli ulio dhahiri kwamba huwezi kuwatenganisha wanasiasa hawa wawili hasa unapojadili mafanikio ndani ya Chadema.Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Wilbroad Slaa ni Katibu mkuu wa Chadema Taifa.Viongozi hawa wawili wamekuwa mhimili mkuu wa siasa za Chadema. Kitu kikubwa walicho nacho viongozi hawa wawili ni Ushirikiano wao.

Kila mmoja ana utaratibu wake katika uongozi lakini ushirikiano wao katika kazi umeifanya Chadema iwe moja na imara kama ilivyo.
Ni vigumu kumsikia yeyote kati yao akisema kitu tofauti na mwenzake.Ninaamini hata kama kuna lolote ambalo wanakuwa hawakubaliani wanalimaliza ndani kwa ndani na kamwe humsikii yeyote akiongea tofauti na mwenzake.

Huu ndio uongozi unaotakiwa na hakika ndio siri kubwa iliyofanya Chadema ifike hapa ilipo.Kitu kikubwa kilichowapa credit kubwa viongozi hawa wawili ni pale Mwenyekiti Freeman Mbowe alipoachia nafasi ya kugombea urais kwa Katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa.Kwa aina ya viongozi wa Afrika tulio nao ni vigumu sana kuona spirit ya aina hii.

Na endapo kama hili lingefanikiwa basi Tanzania kwa mara ya kwanza ingekuwa kama nchi za Ulaya na Marekani ambapo
Rais wa nchi siyo mwenyekiti wa chama tawala.Lakini kingine kikubwa kinachowapa sifa wakuu hawa wawili ni wazi wanaongoza jopo la vijana mbalimbali wasomi na wenye nafasi mbalimbali za uongozi.

Uchambuzi MZURI na wa kimantiki! Naomba kuuliza: Je ushirikiano huu upo kati ya JMK na Mkama?, Mbatia na Ruhuza, Lipumba na Seif, nk? Kama upo ni kwa kiwango gani?
ANGALIZO: Mie siyo mwanachama wa Chama cHOCHOTE cha Siasa! Ni mjadala tu na siyo ushabiki unaosukuma HOJA!
 
Mkuu wangu halafu kuna vibiriti ngoma eti wanahoji uwezo wa kamanda Mbowe.Waje wasome huu uzi waone watu wenye akili zao wanamuona Mbowe ni shujaa na kamanda wa ukweli.
 
Nakupongeza kwa uchambuzi wa kisayansi na kutimiza usemi usemao "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK" kwani kuna watu wanamponda Mbowe bila kufuatilia historia yake. Mbowe aliamu kuacha ubunge akaenda kukijenga chama na amefanikiwa! Kwangu mimi Mbowe ni Jabali ndani ya Chadema.
 
Mkuu wangu there you are!
 
Nikiangalia jinsi mchakato wa kura za maoni ulivyoendeshwa jimboni Arumeru Mashariki bila manung'uniko na jinsi chama kilivyoshikamana ni ushahidi mwingine wa usimamizi madhubuti wa viongozi wa juu wa chama hiki chini ya majabali Mbowe na Dr Slaa.
 
Nimependa maneno yako.Inatakiwa watu wanaoleta mada hapa jamvini wajifunze kutoka hapa.Kwamba unapoleta hoja hakikisha una vithibitisho vitakavyofanya wadau wajadili with no doubts.
 
Umelenga penye ukweli,weledi na uhakika lakini siyo ule wa t.B.C ,penye ukweli jaman lazima tukubali kwani ninaamini atakayepinga uzi huu lazima tumpeleke i.C.U akatibiwe.Kamanda umenena yanayoneneka.
 
Kwa kweli kila nikisoma huu uzi wa fmpiganaji ninapata nguvu ni kwanini CDM inapendwa na watanzania.
 
Freeman ni Mwaanzilishi wa Chadema mwaka 1992 na sina hakika kama alishawahi kuwa mwana ccm, Dr Slaa alijiunga na Chadema mwaka 1995.
 
Kwa jinsi Chadema inavyotikisa sasa hivi nchi ni haki kwa viongozi hawa kujivunia kazi yao.
 
Kwa ujuaji wangu kuhusiana na watu hawa wawili kwenye Thready hii inayowahusu Muheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ni kua watu hawa wanashabihiana sana hembu cheki hapa:
  1. Mbowe na Dr. Slaa ni wacha Mungu.
  2. Wanawajali na kuwastahi watu.
  3. Wanapenda haki na kuwajali wanyonge.
  4. Wanaijua na kuitetea katiba ya nchi na sheria ambayo wanataka ifanyiwe marekebisho kwa maslahi ya Watanzania wote.
  5. Ni wakweli wa maneno na vitendo.
  6. Wanashirikiana na Watanzania wote bila ubaguzi.
  7. Wanauwezo wakuongoza kwa upeo na upana.
  8. Wanapenda amani na utulivu.
  9. Ni waadilifu na wachapa kazi.
  10. Wanalipenda taifa lao.

nyingine ni kurudisha gari la serikali kwa mbwembwe na waandishi wa habari na kulichukua tena kimya kimya
 
Kwa jinsi Chadema inavyotikisa sasa hivi nchi ni haki kwa viongozi hawa kujivunia kazi yao.

pia lazima wajivunie kuwaajili wakaskazini pale makao makuu mpaka madereva na kuwahadaa watanzania wengine.
 
Freeman ni Mwaanzilishi wa Chadema mwaka 1992 na sina hakika kama alishawahi kuwa mwana ccm, Dr Slaa alijiunga na Chadema mwaka 1995.

slaa alikuwa ccm na hata alivyohama ccm bado mke wake akaendelea diwani wa ccm mpaka walivyotengana
 
Nikiangalia jinsi mchakato wa kura za maoni ulivyoendeshwa jimboni Arumeru Mashariki bila manung'uniko na jinsi chama kilivyoshikamana ni ushahidi mwingine wa usimamizi madhubuti wa viongozi wa juu wa chama hiki chini ya majabali Mbowe na Dr Slaa.

ila mbowe hajawahi shinda chaguzi yeyote ndani ya chama huwa anategemea huruma za mkwe wake mtei
 
Mkuu wangu halafu kuna vibiriti ngoma eti wanahoji uwezo wa kamanda Mbowe.Waje wasome huu uzi waone watu wenye akili zao wanamuona Mbowe ni shujaa na kamanda wa ukweli.

mbowe ni shujaa kwa sababu amefanikiwa kutumia ujinga wa watanzania na umaskini wao kwa maslahi yake binafsi kama kuwaandamanisha watanzania na kuwapiga picha na mwisho wasiku huenda kulamba pesa kwa wahisani wa nje na ndani ya nchi
 
Back
Top Bottom