TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 581
Mkuu umenifurahisha sana
pia ni mpenda dogodogo
Mkuu umenifurahisha sana
Kwa ujuaji wangu kuhusiana na watu hawa wawili kwenye Thready hii inayowahusu Muheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ni kua watu hawa wanashabihiana sana hembu cheki hapa:
- Mbowe na Dr. Slaa ni wacha Mungu.
- Wanawajali na kuwastahi watu.
- Wanapenda haki na kuwajali wanyonge.
- Wanaijua na kuitetea katiba ya nchi na sheria ambayo wanataka ifanyiwe marekebisho kwa maslahi ya Watanzania wote.
- Ni wakweli wa maneno na vitendo.
- Wanashirikiana na Watanzania wote bila ubaguzi.
- Wanauwezo wakuongoza kwa upeo na upana.
- Wanapenda amani na utulivu.
- Ni waadilifu na wachapa kazi.
- Wanalipenda taifa lao.
Kamanda umeelekewa,ila suala la matawi hadi mashinani la msingi sana na pia kadi za CHADEMA ni hadimu sana halafu watu wanahitaji kwa wingi ni changamoto sana
Magamba wanaujua moto wa dr na kamanda wa angani! Ndo mana wasioitakia mema nchi,wanapandikiza udini ili dr akose kura zao.
pia slaa analipwa mil saba na laki mbili kwa mwezi huku viongozi wengine wa chama mikoani na wilayani wakijitolea
kadi ziko kilimanjaro na arusha kwani wewe unatoka mkoa gani?
kadi ziko kilimanjaro na arusha kwani wewe unatoka mkoa gani?
Kamanda umeelekewa,ila suala la matawi hadi mashinani la msingi sana na pia kadi za CHADEMA ni hadimu sana halafu watu wanahitaji kwa wingi ni changamoto sana
Magamba wanaujua moto wa dr na kamanda wa angani! Ndo mana wasioitakia mema nchi,wanapandikiza udini ili dr akose kura zao.
pia ni mpenda dogodogo
mbowe ni shujaa kwa sababu amefanikiwa kutumia ujinga wa watanzania na umaskini wao kwa maslahi yake binafsi kama kuwaandamanisha watanzania na kuwapiga picha na mwisho wasiku huenda kulamba pesa kwa wahisani wa nje na ndani ya nchi
Magamba usidhani kila mtu ni kipofu kama wewe mla makombo
pia lazima wajivunie kuwaajili wakaskazini pale makao makuu mpaka madereva na kuwahadaa watanzania wengine.
nyingine ni kurudisha gari la serikali kwa mbwembwe na waandishi wa habari na kulichukua tena kimya kimya