Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

Wajumbe ni zaidi ya 2400,hakuna zilizoharibika??!!

CCM haijawahi kuwa na kura ya haki,ni usanii tu,iwe bungeni,chamani na mitaani,full fitina na figisufigisu za kuhalalisha ushindi
 
Hongera yake ngoja tusubiri wa UKAWA. Yaa kanuni mojawapo bubu imefanya kazi.
Mpokezano wa Dini - See more at: Raia Mwema - Kanuni 5 bubu za kumpata mgombea urais wa CCM

Mpokezano wa Dini Katika kuiweka nchi kwenye hali ya utangamano na amani, kumekuwa na makubaliano yasiyo rasmi, na kanuni bubu kuwa uongozi wa juu ya nchi hubadilishwa kwa kushikiliwa na mtu wa dini nyingine kila baada ya miaka 10. Ukiuangalia mtiririko wa marais wetu kuanzia Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere hadi Rais Jakaya Kikwete, ni rahisi kuhitimisha kuwa mazingira na uzoefu unaelekeza Rais ajaye lazima awe mkristo. Hili halijaandikwa popote lakini limo akilini na mioyoni mwa wadau wa siasa. Hivyo, wagombea walio wakristo, wanayo nafasi zaidi ya kupitishwa na CCM katika uchaguzi wa ndani ya chama chao mwaka huu Mpokezano wa Dini
Mpokezano wa Dini
 
Kutoka mtu wa ndani kabisa matokeo ya uchaguzi wa CCM ni kama ifuatavyo:

1. Dr John Pombe Magufuli >>>>>> kura 1560

2. Dr Asha Rose Migiro >>>>>>>>> kura 702

3. Amina Salum Ali >>>>>>>>>>>> kura 349

Officially Magufuli is a presidential candidate for CCM.
Mkuu COARTEM, thanks for info, na hii ndio the power of jf, be the first to know!.
Pasco
 
Kutoka mtu wa ndani kabisa matokeo ya uchaguzi wa CCM ni kama ifuatavyo:

1. Dr John Pombe Magufuli >>>>>> kura 1560

2. Dr Asha Rose Migiro >>>>>>>>> kura 702

3. Amina Salum Ali >>>>>>>>>>>> kura 349

Officially Magufuli is a presidential candidate for CCM.

Dr. John Pombe"Kali" Magufuli vs Dr. Wilbroad Petero "the Rock" Slaa, yeeeees! Tanzania has a chance to reinvent itself with either of the two at the helm, God bless mother Tanzania
 
Back
Top Bottom