Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

Sasa Tanzania tumeoata rais mwenye maamuzi magumu.
 
Lowasa Jana hadi leo bado nasikia hajakula ,yeye anaponea tu malimao
 
hongera wajumbe WA NEC!!!/ MMEFANIKIWA KU~CRUSH AWAY KICHUGUU CHA UVUNDO.....
 
Wajumbe ni zaidi ya 2400,hakuna zilizoharibika??!!

CCM haijawahi kuwa na kura ya haki,ni usanii tu,iwe bungeni,chamani na mitaani,full fitina na figisufigisu za kuhalalisha ushindi

Ishu yako ni balozi Amina atakuwa hajatendewa haki au Magufuli kapendelewa?
Endapo ni taarifa za kweli.
 
Hapo ukawa imekula kwenu!!
Ni Mwananchi yupi asiyejua utendaji wa Magufuli????
Hapo hata muungane na Zitto mumchukue na Lowasa!
Magufuli ni kiboko yenu!

Magufuli mwizi! JK alikuwa hivi hivi akaishia kuwa bonge la jizi
 
Kutoka mtu wa ndani kabisa matokeo ya uchaguzi wa CCM ni kama ifuatavyo:

1. Dr John Pombe Magufuli >>>>>> kura 1560

2. Dr Asha Rose Migiro >>>>>>>>> kura 702

3. Amina Salum Ali >>>>>>>>>>>> kura 349

Officially Magufuli is a presidential candidate for CCM.

Title umesema unconfirmed alafu ndani unaandika officially. Nothing can be unconfirmed and official at the same time
 
Back
Top Bottom