Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

Uncofirmed: Magufuli ameibuka kidedea, kuipeperusha bendera ya CCM

Hatimaye jk amefanya maamuzi magumu ambayo hakuwahi tangu aingie madarakani. Naona ameona asiharibu swaum yake.

kwa maamuzi aliyoyasimamia yeye JK hakika amefaulu nani ambaye hamjui MAGUFULI?.sasa kazi imeanza ccm shikamoo
 
Kutoka mtu wa ndani kabisa matokeo ya uchaguzi wa CCM ni kama ifuatavyo:

1. Dr John Pombe Magufuli >>>>>> kura 1560

2. Dr Asha Rose Migiro >>>>>>>>> kura 702

3. Amina Salum Ali >>>>>>>>>>>> kura 349

Officially Magufuli is a presidential candidate for CCM.
Let it be true!
 
Title umesema unconfirmed alafu ndani unaandika officially. Nothing can be unconfirmed and official at the same time

ukiona hivyo hajui maana halisi ya maneno hayo, haya ni matokeo ya Copy n Paste!
 
tumelifutia mkataba likandalasi limoja, likashitaki tukalishindaga.
 
Though nampongeza JK kwa kukiacha chama salama ijapokuwa alitaka sana kumuweka kumuweka kaka ake ila ndo hivyo tena ..Mungu hapangiwi!
 
Magufuli akitaka apunguze vikwazo kwenda Ikulu, atangaze atamuweka Mwakyembe kuwa Waziri Mkuu!, hapo atarahisisha njia yake kwenda Magogoni.
 
hata hivyo hii nchi ilipofikia inahitaji mtu mbabe ndo iende cha msingi a review katiba ya chenge kama ana ubavu kweli
 
Nadhani watu wanausahaulifu fulani; wamesahau kabisa watu hawa hawa walivyosema Kikwete alipochaguliwa 2005... leo Magufuli kawa jembe?

Hapo ndipo ninapowashangaa watanzania wenzangu sijui hawajui ccm ya Kikwete itakuwa ile ile ya Magufuri!!!!!!
 
Nadhani watu wanausahaulifu fulani; wamesahau kabisa watu hawa hawa walivyosema Kikwete alipochaguliwa 2005... leo Magufuli kawa jembe?

Kwani jembe kwa context ya Tanzania ina maanisha nini??!!
Nini anakosa katika sifa hizo??!!
 
mkuu nashukuru kwa matokeo ila hzo kura ukijumlisha znakuja 2611, wakati wajumbe waliopga kura walitangazwa kuwa around 2400, hzo nyingne zmetoka wap? au na wale wachina nao walipiga
 
Back
Top Bottom