Ulitakiwa kujustify hayo yote kabla ya kuweka mada ambayo ineonekana umehitimisha - hukumu tayari.Ungeweza tu kuchangia bila kutukana bado ningekuelewa..! Nisaidie ndugu kunielewesha,Rais,waziri mkuu,makamu wa Rais nk. Magari waliyotumia ni ya ccm?? Unaweza kutuhakikishia vp km matangazo ya moja kwa moja ccm ndo wamelipia?? Ukiweza rudi kwa matusi tena kwa sababu hainipunguzii kilo.
Umeandika kwa hisia sana. Vipi umeguswa kunako?Siku hizi ujinga umegeuzwa kuwa hekima na busara!
Kuna baadhi ya watu hawafahamu kama ni wajinga!
He who knows not and knows not that he knows not is a fool!
Hufahamu hata maana/tofauti ya sherehe za chama na taifa.
Kasome kwanza civics!
Mambo kama haya hata mtu mwenye common sense ambaye halifahamu hata darasa atafahamu tofauti ya sherehe za chama na kitaifa,
Rais alifuta sherehe za Uhuru. Ambacho hakufuta ni maadhimisho ya Uhuru. Alisisitiza hakuna haja ya kuadhiminisha siku ya Uhuru kwa kufanya sherehe na kutumia pesa nyingi ilhali kuna watanzania maskini lukuki. Alifanya hivyo pia kwa pesa za 'sherehe za wabunge'. Pesa ambazo hazikuwa za serikali na yeye kiuhalisia hakuna na mamlaka nazo.Huku mnakoelekea mtasema pia Rais aondolewe ulinzi maana ni gharama. Hivi Rais alifuta sherehe za uhuru au alibadilisha namna ya kusherehekea?? Kweli kulalamika ni jadi yetu waTz
kama ametumia gharama za serikali sio vizuri na inastahili kukemewa ila kama ni za chama sawa tu,tutofautishe mambo ya chama na ya serikali hata mimi naweza acha party yoyote ofisini kwangu nikaenda kusheherekea birthday ya mwanangu
Sikiliza. Tunajua ccm mna fedha nyingi na hamshindwi kugharimia hizo sherehe kwa vyovyote vile. Kinachotushangaza ni kwamba iweje rais anapambana kufuta sherehe zisizo na tija na kupeleka fedha hizo ktk shughuki za maendeleo. Iweje ccm mmeshindwa kuonesha kwa vitendo kwamba mnamuunga mkono rais kwa nyie pia kusherehekea birthday yenu kwa njia nyingine isiyotumia gharama kubwa km mlivyofanya leo? Je hii ni kuonesha kwamba ccm hamko pamoja na rais. Hii ilikuwa ni opportunity ya kuonesha kwamba mmebadikika lakini mmeshindwa kuitumia opportunity hiyo! Shame!Uhuru ni sherehe za kitaifa, Ccm kuadhimisha miaka 39 ni maazimisho ya chama sasa jaman utazuia hadi sherehe za vyama sidhan kama ni sahih, ccm wako sawa kuadhimisha,
Matusi yanakuongezea nini? Hivi ulinzi aliopewa toka Dar mpaka Singida alilipiwa na mama yako?You mean unasema kuwa chadema, ACT, Nccr, Tadea, Chaumma wakitaka kufanya sherehe zao magufuli aingilie??
Sherehe za CCM sio za kitaifa, sherehe ya uhuru ni ya kitaifa
sherehe ya ccm ni ya kichama, ya uhuru ni ya serikali
acha upuuzi
Unamwonaje jpm? Jamaa ni smart sana. Alinusa panya(he smelled a rat). Amekaa bungeniEti ooh zile sio za serikali.Hivi hela zilizozuiwa kufanya sherehe ya wabunge zilikuwa za serikali?
na mimi nakushauri badili signature yakoNakushauri ubadili hyo Avatar yako !
We ndiye mgumu kuelewa. Hii hoja hata mie nilitaka kuianxishia uzi. Mleta mada yupo sahihi kabisa! Ishu sio km pesa iliyotumika ni ya chama cha ccm au ya serikali, bali ni mshangao kwamba serikali inabana matumizi chama hakioneshi kuiunga mkono serikali kwa vitendo! Je ccm haikupaswa kufanya km alivyofanya Magufuli na kuilekeza fedha iliyotumika kwenye hizi sherehe kwa mfano kununua madawati? Ingeleta maana zaidi!Ila mleta uzi mgumu sana kuelewa, punguza wivu maana hata mwaka wa maadhimisho umekosea! Kasome civics urudi tena acha ubishi!
Tena sherehe hiyo haigharamikiwi na serikali inagharamikiwa na chama chenyeweYou mean unasema kuwa chadema, ACT, Nccr, Tadea, Chaumma wakitaka kufanya sherehe zao magufuli aingilie??
Sherehe za CCM sio za kitaifa, sherehe ya uhuru ni ya kitaifa
sherehe ya ccm ni ya kichama, ya uhuru ni ya serikali
acha upuuzi