Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Itabidi niwatafute niangalie tena maana huu uzi umenikumbusha mbali sanaNi wajinga pro max😂😂😂
Itabidi niwatafute niangalie tena maana huu uzi umenikumbusha mbali sanaNi wajinga pro max😂😂😂
Number 3
Hii ilikua kama ina idea ya time travel au sio?Kwan ww agape umeijua mwaka gan?
Cartoon ya superbook ilikuwa inaoneshwa ATN
View attachment 2181559
Enzi hizo agape ilikuwa inarusha had mechi za UEFA
👉Martin Mystery
hawa jamaa walikuwa kama movies za king'sman zilivyo. Wanajidai wanasoma chuo ila likitokea tukio la kuhatarisha usalama wa watu wanaingia mzigoni kulitatua.![]()
👉Marsupilami
View attachment 2180450
👉Scooby-Doo Where Are You!View attachment 2180449
Samurai Jack hahaaa....
Itv 2 au c2cTuligombana sana na dada wa kazi enzi hizo sikumbuki ilikuwa stesheni gani ila ilikuwa ikifika saa 11 jioni wanaweka miziki ya Congo ambayo dada wa kazi alikuwa anapenda wakati huo sisi tunataka Cartoon
Hivi Tom na Jerry hawatoi mpya siku hizi? Maana kila clip ninayoiutana nayo nilishaionaKwa bahati mbaya wakati Agape inaanza nilikuwa nimeshaacha kuangalia cartoon nadhani ndo maana hata hiyo Superbook siijui!
Nilihamia kwenye mieleka ya kina NWO na movie za kina Timetrax, Renegade, V n.k baada ya kumalizana na kina Tom & Jerry.
hawa n ukubwa wangu bado nawaangalia aiseeKaka zangu Sana wa faida.
HAKUNA Kama Hawa na hawatakuja kuwepoView attachment 2180646
wanatoaHivi Tom na Jerry hawatoi mpya siku hizi? Maana kila clip ninayoiutana nayo nilishaiona
Zipo ila ndo wameziweka kisasa tu siku hizi, hakuna tena ile ladha ya enzi zile, nadhani Fred Quimby alishadanja.Hivi Tom na Jerry hawatoi mpya siku hizi? Maana kila clip ninayoiutana nayo nilishaiona