Unazikumbuka hizi cartoon?

corpse bride
images-29.jpeg

adventures of tintin
images-28.jpeg

R.jpeg
 
Inavyoonesha wengi humu wana miaka kati ya 18 na 23, kumbe wengi ni vjjana tu au young adults.
Nimeshangaa baadhi ya channel kutajwa! Hivi kati ya TVT na Agape, ipi ilitangulia?

Tulikuwa na ITV, CTN kisha DTV kama sikosei!
 
Katika Cartoon za mwisho mwisho nilizoziangalia nikiwa na umri wangu mkubwa ni hizo Camp Lazlo, Robot boy, Skunk Fu, Ben 10, Juniper Lee, My gym partner's a monkey na nyinginezo.
Siku hizi Cartoon network hawatengenezi cartoon kali sijui shida nini.
Nimebaki kuangalia animation movies tu.
 
Kwel siku hiz hawana cartoon nzuri had kuna mda nahis zipo CN nyingi ila hii inayorusha matangazo yake huku kwetu ni ile yenye cartoon za bei ndogo
 
Kwan ww agape umeijua mwaka gan?
Cartoon ya superbook ilikuwa inaoneshwa ATN

View attachment 2181559
Enzi hizo agape ilikuwa inarusha had mechi za UEFA
Kwa bahati mbaya wakati Agape inaanza nilikuwa nimeshaacha kuangalia cartoon nadhani ndo maana hata hiyo Superbook siijui!

Nilihamia kwenye mieleka ya kina NWO na movie za kina Timetrax, Renegade, V n.k baada ya kumalizana na kina Tom & Jerry.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom