Unazikumbuka hizi cartoon?

Cartoon network walikua wanatoa vitu vikali aiseee hawa designer na creator wa sasa siwaelewi kabisa boomerang wanaipa sana promo lakini hakuna kitu
 
.
FB_IMG_16504281257324435.jpg
 
Good old dys..nilikua nikitoka tu shule..nakaa kwa tv nasubiri katoos.

Mleta mada wapi samurai John,snoopy dooby doo.

Utoto wa kipindi hicho ulikua raha sana..hivi madogo wa siku hizi wanaenjoy nini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Samurai jack
 
wana pj mask
 
Katika Cartoon za mwisho mwisho nilizoziangalia nikiwa na umri wangu mkubwa ni hizo Camp Lazlo, Robot boy, Skunk Fu, Ben 10, Juniper Lee, My gym partner's a monkey na nyinginezo.
Siku hizi Cartoon network hawatengenezi cartoon kali sijui shida nini.
Nimebaki kuangalia animation movies tu.
Nafkiri itakuwa inshu za mapato.
Siku hizi mambo yako ktk animations nahisi kuna hela kuliko hizo cartoons ambazo pesa siyo nyingi sana kuoneaha series ktk tv.
 
Zile za star wars ITV nilikuwa sizielewi kipindi hicho English hamna kichwani unamsubiri sehemu za actions tuu....hahaaaa
Ila hamna kitu kinaleta imaginations kama katuni. Nakumbuka light saber na zile laser guns zilikuwa ktk star wars lakini miaka ya karibuni tumeona laser guns za ukweli ukweli kabisaaaa....wazungu wengi huweka mawazo yao yasioaminiwa na watu ktk katuni au movies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom