MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,727
- 37,031
Teletubbies
Umenikumbusha mbali sana mkuu.Martin Mystery
hawa jamaa walikuwa kama movies za king'sman zilivyo. Wanajidai wanasoma chuo ila likitokea tukio la kuhatarisha usalama wa watu wanaingia mzigoni kulitatua.![]()
Marsupilami
View attachment 2180450
Scooby-Doo Where Are You!View attachment 2180449
C2C duuh long time sana Kaka!Daaah umenikumbusha mbali ssna
Zote hapo nilikusa napenda ziangalia
Itv na ctn cartoon Network enzi zile za antena na chenga chenga
Huku mziki tukkcheki chanel ya C2C
Jamaa la wacky races hilo lenye mustache halijawah kushinda hata siku mojaTop cat
Wakcky Races.siku izi hizo mambo hazipo kabisa.View attachment 2186748View attachment 2186749


,
Till now natazama tom and jerryKumbe na ww ulikuwa unafatiliahiv vijitu
Hii nimemrithisha mwanangu, YouTube suggestions yangu imejaa teletubbiesTeletubbiesView attachment 2186552
STUPID DOOG!!!? hahahaThose days,
Nilikua nampenda John Bravo mwili mkubwa akili kisoda, lol
Powerpuff Girls kuna muda nilikua najihisi na mimi napaa,
Courage the Cowardly Dog, alikua anawasaidia wale wazee dhidi ya Ghosts na Monsters lakini yule babu anamuona stupid, bibi alikua anampenda,
Scoob doo na mwenzie Shaggy vioga bahati mbaya matukio lazima yaanzie kwao
Those times when you worry nothing but school na kukosa katuni.
Top cat
Wakcky Races.siku izi hizo mambo hazipo kabisa.View attachment 2186748View attachment 2186749


Lile jamaa ukute linakimbiza kile kindege utacheka sn!Jamaa la wacky races hilo lenye mustache halijawah kushinda hata siku moja![]()
Ujanja ujanja mwingi!Top cat ilikua ya masela wazee wa michongo![]()
Enzi za Cartoon Network and Boomerang... Nowadays wanayumba na remakes ambazo ni mbovu kinoma... Enzi zile ukiwa na DSTV ukosi kitu from KTV, Cartoon Network, Boomerang, Disney Channel (plus XD), Nickelodeon, Kidsco hadi Cbeebies... Good old days!Zilitukuza enzi hizo mimi na jamaa zangu tulikuwa tuna ratiba nzima. Ilikuwa kila siku za juma3 had ijumaa kuanzia saa 15:00H - 18:00H channel 10, tv Mozambique, TIM, ITV na Agape TV walitupa burudani wapenz wa cartoons.
Acha leo nikumbushie cartoon zangu za enzi hizo nakuwa:-
👉Pink and the brain
View attachment 2180459
👉Courage the Cowardly Dog
![]()
👉Dexter's Laboratory
![]()
👉Ed, Edd n Eddy
![]()
humu kuna moja kati ya character mjinga kuwai kutokea kwenye ulimwengu wa animation😂😂😂
👉The Powerpuff Girls
![]()
👉johnny bravo
![]()
mwili mkubwa nguvu kisoda
👉double dragon.
![]()
👉Ben 10:
![]()
hii ilikuwa moto hasa ile ya kwanza inayowaonesha kabla hawajawa wakubwa
![]()
kevin ndio alikuwa villian character aliyekuwa anamsumbua sana ben10 kwan alikuwa anauwezo wa kutumia had styles 4 za ben10 kwenye umbo moja.
👉popeye and son
![]()
wazee wa kula spinach ili kuwa na nguvu.
👉superbook bible stories
hii ilikuwa nzuri kwa watoto. Ilihusu matukio ya kwenye biblia.![]()
👉Tom and Jerry
![]()
👉galactik football
![]()
humu kuna chenga na rafu za hatari.
👉Robotboy
![]()
![]()
👉megas xlr
![]()
👉Totally Spies
![]()
👉codename Kids Next Door
![]()
👉the life and times of juniper lee
![]()
👉Code Lyoko
![]()
Jamaa alikuwa role model wangu enzi hizo... 😂John Bravo
Mzee alikuwa analipa mradi tusitoke nje... Nimejifunzia ngeli humoEnzi za Cartoon Network and Boomerang... Nowadays wanayumba na remakes ambazo ni mbovu kinoma... Enzi zile ukiwa na DSTV ukosi kitu from KTV, Cartoon Network, Boomerang, Disney Channel (plus XD), Nickelodeon, Kidsco hadi Cbeebies... Good old days!