Unazikumbuka hizi cartoon?

Kama umeona hii na unaikumbuka basi tuko pamoja.
kimbaimeansimba.png
 
Umenikumbusha mbali mkuu...
Nikiwahi kumuandikia mwali kabarua, kisha akakapeleka kwa mwalimu wa darasa na kesho yake nikaambiwa nikasome hako kabarua mstarini....
Weee hakuna rangi yenye niliacha kuiona kwa kipigo...
 
Tuligombana sana na dada wa kazi enzi hizo sikumbuki ilikuwa stesheni gani ila ilikuwa ikifika saa 11 jioni wanaweka miziki ya Congo ambayo dada wa kazi alikuwa anapenda wakati huo sisi tunataka Cartoon
 
bado camp lazo kuchekesha noma

Bakugan hii ni battle napenda dragon anamilikiwa na dogo mmoja ivi wana kama chip za kuingia kweny uwanja wa kupambanisha izo toys zao hata kama wako barabarani kuna maneno wanasema basi wanarusha kama wanaingia sehemu nyingine wanarusha zile vi toy kama kete za duara basi zinatokea mnyama mkubwa wanapambana

Chop socky chooks hii wanapamabana sana na wale nyani kama watu iko poa kuna mchina kuna demu wako kama watatu au wanne kitambo sana


ila ben tena kipind icho saa nne channel ten noma sana nampenda lile kubwa linaitwa Humungosaur lina nguvu grand max na yule dada yake Gwen baada walivyokuwa wakubwa akaongezeka yule kelvin akishika chuma mwili unakuwa chuma
Daah ulikua mdau...., Kuna wale The adrenaline.
Hivi miaka ile channel 10 ilikua ya ccm?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom