Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Umeishamaliza kunywa chai juu ya bati au bado uko juu..
Helikopta ya mkuu wa kaya imenletea na ugali, ndio nakula hapa...

Hashuki mtu asee mpaka mamlaka ya hali ya hewa watangaze kuwa patakuwepo na ukame wa hapa na pale..
 
Helikopta ya mkuu wa kaya imenletea na ugali, ndio nakula hapa...

Hashuki mtu asee mpaka mamlaka ya hali ya hewa watangaze kuwa patakuwepo na ukame wa hapa na pale..
Dah! Ila una vituko nasikia jana mkuu wa kaya alipokuja kukutembelea kukuuliza unaendeleaje ukagoma kabisa kumjibu akabakia ana duwaa mwenyewe..
 
Tehe tehe unataka zile ambazo zimefanikiwa kuwa pamaja au hata zilizovunjika??
 
avatar50584_7.gif
Hii avatar inantatiza kila nikiiona,
inannihiii
 
Back
Top Bottom