Nyuzi zilizomo humu(JF) zinatoa picha ya jamii nzima ipoje

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,027
12,338
Pamoja ya kwamba tunaweza kujiona ni wachache humu kulinganisha na population nzima ya taifa.

Lakini nyuzi na maoni yaliyo jaa humu ni picha halisi ya namna jamii yetu ndani ya taifa letu ilivyo.

- Ni vitu gani jamii yetu ndani ya taifa letu inapenda kwa sana ?

- Ni vitu gani jamii haipendi kujihusisha navyo ?

- Jamii inauelewa gani kuhusu masuala mbalimbali ya muhimu ?

- Jamii haina uelewa kiasi gani kuhusu masuala ya muhimu ?

- Athari ya elimu inayo tolewa hapa nchini ina dhihirika kwa kiasi gani ?

- Ni vitu gani vinavyopewa kipaumbele kwa sana ndani ya jamii ?

- Ni vitu gani visivyopewa vipaumbele na jamii ?


Maswali haya na mengi zaidi majibu yake ni picha halisi ya jamii yetu ya Kitanzania kupitia JF namna ilivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom