Unazijua couples zilizomo humu JF.?

El Toro na Fe Lady mtatutaka....

African-Couple-Tree-1611079.jpg

hii hapa iko mwake sana
 
za gossip yetu bado ni undergroung
kuna ya Lizzy na Afrodenzi
huwa wanataka kupindua Iraq ila wameshindwa

Kingosho, ya TF na yuleee ni hiyo ya mamba mla watu. Afu TF na yule mwingine ni hiyo ya busu.
Afu mie na wewe pia si ni couple ya gossip, ama?
 
za gossip yetu bado ni undergroung
kuna ya Lizzy na Afrodenzi
huwa wanataka kupindua Iraq ila wameshindwa

Kongosho, naomba mwongozo....kapo tunazoongelea ni za KE kwa KE kumbe?:A S embarassed:
 
Asprin na Gaga ila kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa zinasema kuwa Asprin kaachika, King'asti na MTM, Mwali na Fidel80, Bishanga na Eliza wa tegeta, Afrodenz na Saint Ivuga, PakaJimmy na tetea tete, Preta na Bigirita, bht na Nyani Ngabu, Gaijin na Rejao, Mj1 na mbu, Sweetlady na klorokwini, Ashadii na Kaizer, Husninyo na uporoto01, The Finest na Lizzy, Kongosho na The Boss, Kabakabana na Excellent.
 
My dearest brother, nadhani kidhungu cha jf, couple is anything that fits like a jigsaw puzzle (kiswahili cha mido skul).
Ila naona sweetlady anataka kuniletea ugomvi na wifi yangu mpenzi Ashadii, sijui hata pa kuanzia. Shemeji yako yuko hapo chini anasoma upepo tu, na mvua hizi sijui kama mafuriko ya hasira hayatamalizia palipobakishwa na maji!
Orait,,,mkishagossip mnakuwa kapo:A S-coffee:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom