klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Dah! what a red carpet try lolHapa ndio nimesha try hard, imagine! lol
Dah! what a red carpet try lolHapa ndio nimesha try hard, imagine! lol
hehee DA kwa mikwala bana, uskute mikwala yote hii kumbe yuko jangwani
Kumbe?unazidi kuifanya kesi ile kuwangumu zaidi
hiyi inaweza chukuliwa kama hongo
Dah nanyang'anywa tongwe mdomoni...........ndo basi tena.
Aaah sinauhakika sasa hivikumbe ulikuwa nao wawili?
Kabakabana je?
Aaah sinauhakika sasa hivi
hehehehe! Ole wako hiyo hijabu na nikabu ikupendeze. Lol.
Asee. Pole kwa kumpoteza rafiki... RIP rafiki..
Jangwani wapi bana? Niko Mchikichini pr school
Umeona eeh! si ni wewe honey ndo unanikoleza jamani
nitamripoti kwa mods
Hii eye shadow sio ya mzaha. lol! but najua Excellent hajachanganyikiwa nayo...Khah! Umeamua kumwacha wifi na maharo yoye ulolipa?
Mwali anakuchanganya nini, ni hiyo eye shadow?
Kura imekudondokea tuwe kapo unanikataa kwa raha na kunikubali wkt wa shida?
Hii eye shadow sio ya mzaha. lol! but najua Excellent hajachanganyikiwa nayo...
Jamani, jamani, jamani, khaaa!Sante uzuri narithi mkewe raha kula na nduguyo.
ha ha ha ha Fidel80 amposa Kloro, oops siko udaku kumbe
Lol...mkemwenza na mkweo mwamtia aibu my shemeji uporoto....mwaazimana hadi kope??? Kweli kuwa na mamkwe wa mjini tabu tupu...Hata avae gunia atajiju! Hapa ni mwendo wa skintite na kitopu hata kama nna kitambi! Afu kope zangu ziko kwako eeh? Nani anataka kuonekana bibi hapa! Akuu!
Hahahaha ni mwali bana
Kloro naomba radhi kwa kunukuu vibaya bia hizi bana ulevi noma.
Tangu nikusemee kwa wifi yangu wa kwanza una hasira na mimi. Ndo ukomage umbeaAcha uongo mbona nipo hapa sikuoni nasubili pilau la jk