klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hakuna penzi la kweli mifuko ya suruali inapokuwa na crisis
sasa jibaba hiyo T shirt unataka wakuonee huluma sio? lol hehehehakuna penzi la kweli mifuko ya suruali inapokuwa na crisis
Ndo hivo,jitihada zangu pande zote zimegonga mwamba,labda japo kachembe cha huruma nitapatasasa jibaba hiyo T shirt unataka wakuonee huluma sio? lol hehehe
Malizana na kongosho apo, statistic zinasema alilembewa kibuti mkesha wa leoNdo hivo,jitihada zangu pande zote zimegonga mwamba,labda japo kachembe cha huruma nitapata
Kongosho jinsia mbili a.k.a she-male.hapo ni gunduMalizana na kongosho apo, statistic zinasema alilembewa kibuti mkesha wa leo
hehehhe mkuu pengine ni njia ya kujikinga tu iyo, uskute kongosho pengine ndio mtoto bomba kuliko wote hapa JF. Janja zao nazielewa sana hawa jinsia ya upinzaniKongosho jinsia mbili a.k.a she-male.hapo ni gundu
hehehe mpwa punguza bange, hii ni zaidi ya bia.
dah hizo lips sasa duh
Poa poa mpwa, nipo bana nalisindikiza gizaNisamehe bure vp hujalala mpaka saizi mpwa? Nahisi utakuwa viunga vya makuli huko nchi za weupe.
Malizana na kongosho apo, statistic zinasema alilembewa kibuti mkesha wa leo
Kongosho jinsia mbili a.k.a she-male.hapo ni gundu
hakuna penzi la kweli mifuko ya suruali inapokuwa na crisis
hehehhe mkuu pengine ni njia ya kujikinga tu iyo, uskute kongosho pengine ndio mtoto bomba kuliko wote hapa JF. Janja zao nazielewa sana hawa jinsia ya upinzani
Poa poa mpwa, nipo bana nalisindikiza giza
Poa poa mpwa, nipo bana nalisindikiza giza
Na uchukia sana mfumo jike nimetoka kumnywesha demu kala michemsho kaja na wapambe wawili saizi ananiambia sweety kuna msiba nyumbani nimetumiwa meseji hii hapa dah.
Kama ulikuwa umejiandaa
ipige roba ya mbao
hutasikia kelele wala malalamiko hadi asubuhi
toto la The Boss hilohehehhe mkuu pengine ni njia ya kujikinga tu iyo, uskute kongosho pengine ndio mtoto bomba kuliko wote hapa JF. Janja zao nazielewa sana hawa jinsia ya upinzani