Basi Mungu wako anakuonea sana.Ndio
We acha tu ,Kama unamuamini mungu kila unachopitia ni mpango wake mungu.
Kama wewe ni masikini huo ni mpango wake,
Kama umedhulumiwa huo ni mpango wake,
Utawala wa CCM ni mpango wake,
Kama unaumwa huo ni mpango wake,
Ukifiwa ni mpango wake,
Ukifungwa ni mpango wake,
Wewe kufa kwa kifo chochote ni mpango wake,
Umasikini unaanzia akilini na rohoniHakuna mtu anachagua umasikini
UNataka kusema waumini hawafahamu wanachokiamini? Au una maana gani?Ahaa kumbe wewe unatoa hukumu kulingana na mtaa sio?
Mungu haingilii maisha yako, ni wewe unajipangia mwenyeweKama unamuamini mungu kila unachopitia ni mpango wake mungu.
Kama wewe ni masikini huo ni mpango wake,
Kama umedhulumiwa huo ni mpango wake,
Utawala wa CCM ni mpango wake,
Kama unaumwa huo ni mpango wake,
Ukifiwa ni mpango wake,
Ukifungwa ni mpango wake,
Wewe kufa kwa kifo chochote ni mpango wake,
Binafsi sikuelewi hebu rudia comments..UNataka kusema waumini hawafahamu wanachokiamini? Au una maana gani?
Kabisa , kuwa mpole tu watu wapige nyeto , usipinge mpango wa MunguKwa hyo mpiga nyeto anapokula nyeto nao n mpango wa munguu aloooooo
Katika mfano huu natumia mtaa, ambao taswira hii ipo kwa baadhi ya waumini, hivyo nakuuliza waumini hao hawafahamu wanachokiamini?Binafsi sikuelewi hebu rudia comments..
Mimi ndo nilikuuliza unahukumu kulingana na mtaa au kulingana na sheria za Mungu?
Tena unaniuliza nilichokuuliza!
Kuamini kwenye nini sasa?Katika mfano huu natumia mtaa, ambao taswira hii ipo kwa baadhi ya waumini, hivyo nakuuliza waumini hao hawafahamu wanachokiamini?
Yeye alivyo andika ni mpango wa Mungu , unakosoa mpango wa Mungu? Ila hata ulivyokosoa pia ni Mpngo wa Mungu, na hata mimi ninavyosema hivi ni mpngo wa Mungu tuKuamini kwenye nini sasa?
Maana hapa tunazungumzia kila jambo ni mapango wa Mungu
Wewe unazungumzia kuamini kwenye hili hili au hata jingine?
Jana na leo
Kuwapigia raia nyeto usoni?Yeye alivyo andika ni mpango wa Mungu , unakosoa mpango wa Mungu? Ila hata ulivyokosoa pia ni Mpngo wa Mungu, na hata mimi ninavyosema hivi ni mpngo wa Mungu tu