Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

Kuamini kwenye nini sasa?
Maana hapa tunazungumzia kila jambo ni mapango wa Mungu
Wewe unazungumzia kuamini kwenye hili hili au hata jingine?
Huelewi sehemu gani mkuu,
Nimekupa mfano kutoka mtaa, mtu kwenda jela na karudi kawa mshika ibada kwelikweli jamii(waumini) inasema ni mpango, wewe umekataa jambo hili kwamba sio mpango, mimi ndo nakuuliza sasa unamaanisha kwamba wale waumini hawafahamu wanachokiamini? maana according to wao ni mpango na wanajivunia jambo hilo kwenda hivyo
 
Kutoelewa kwake ni mpango wa Mungu bwashee
 
Back
Top Bottom