Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

Ni mada ambayo nikiiona lazima jina lako linijie la kwanza. Kuna ndugu LIKUD yeye tayari anajulikana kwenye mada zinazohusu shule za private na serikali.
Mungu huyu anayehubiriwa angekuwapo hata hii mijadala isingewezekana kuwapo.

Kuwapo kwa mijadala ni ushahidi Mungu hayupo, tumemtunga sisi wenyewe kama muhusika wa hadithi yetu tu.
 
Siku ukirudi ugalatiani mkuu itakuwa ni kilio na taharuki kuu, kama vile Lissu kujiunga na CCM.
Unaweza kukuta hata saa hizi nipo kibanda cha Mama Ntilie Vingunguti napata wali maharage natazama hali kwa Bi Mkubwa Minazi Mirefu hapo.
 
Kama ni free will kwanini mtu ahukumiwe Kwa kufanya jambo linalomchukiza huyo Mungu
Alipaswa kuchagua mema, ila akachagua upande usio mwema matokeo yake ndio hayo! Lazima kuwe na consenquences,
 
kwamba shetani kafanya shambulio la kushtukiza? , ukiangalia muundo ulivyo kimsingi sana waumini wanatakiwa kumsapoti shetani maana anaplay nafasi muhimu sana na jukumu alilopewa, tofauti na hapo ni kama mnasema shetani amemzidi nguvu
Ali asi, aliingiwa tamaa, tamaa ni dhambi! Jukumu lipi alilopewa😂

Shetani ameachwa tu ila hajamzidi nguvu! Kwanza kati yake na Mungu yupi anayetumia nguvu kubwa kushawishi watu matendo?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Ni mada ambayo nikiiona lazima jina lako linijie la kwanza. Kuna ndugu LIKUD yeye tayari anajulikana kwenye mada zinazohusu shule za private na serikali.
Na natafuta ajira wa single maza, kadogoli wa waganga, na yule wa wasanii.. kweli kila mtu na sector yake😂
 
Unaweza kukuta hata saa hizi nipo kibanda cha Mama Ntilie Vingunguti napata wali maharage natazama hali kwa Bi Mkubwa Minazi Mirefu hapo.
Kila kitu kinawezekana! Uwe unatupitia kwenda kula huo wali na maharage tu😆
 
Ali asi, aliingiwa tamaa, tamaa ni dhambi! Jukumu lipi alilopewa😂

Shetani ameachwa tu ila hajamzidi nguvu! Kwanza kati yake na Mungu yupi anayetumia nguvu kubwa kushawishi watu matendo?
hapo alipo asi, lilikua shambulio la kustukiza? yani ghafla?
 
Yawezekana , maana ikiwa mtu huyo akaenda humo gerezani na baada ya kifungo hiko akarudi uraiani kama muumini kweli kweli, waumini wwngi husema ule ni mpango wake na njia zake hazichunguziki, au unasemaje mkuu
Yawezekana.....HUNA UHAKIKa manake
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kumbuka alituumba kwa Mfano wake ina maana hata mipango yake tunayo.

So mi naamini yote ni Mipango ya Wanaadamu tuu. Mungu alishamalizana na sisi.
 
Back
Top Bottom