Ni ngumu kumeza, naamini pope leo akibadili sheria ya ndoa kuruhusu mke zaidi ya mmoja wake mtatafutana.Ukiweka wa pili utaongeza wa tatu na zaid na zaidi
Ni bora kuwa hivyo kulingana na imani ya dini ya kiislam na si ya kikristo.Ni bora uwe na ndoa za halali ya mke zaidi ya mmoja kuliko na kuwa na ndoa ya halali ya mke mmoja halafu nje una michepuko zaidi ya 10.
Me.Me/ke?
Ndio ujipange sasa maana chances zako umeshazifanya kuwa limited sanaNi kweli natamani ila umeenda nje ya mada.
Kwahyo mkuu daily lazima ucheke na nyavu? Goli za kutosha! ![emoji102] [emoji102]Mtazamo wako tu@ wote wanalea kwa sasa@ huduma zote wanapata narotate kila baada ya siku1 maisha yanaenda@ nguvu ipo bado kijana mbichi@mliopitia Chaputa hamuwezi...
Hahaha jamaniii pole eeNi kweli natamani ila umeenda nje ya mada.
Unadhani sisi ambao hatujaolewa tukipewa nafasi na wanaume tunaowapenda tuolewe wake wa pili tutakataa? Wake walio mmoja ndo hawataki hii habari. Mimi mwenyewe nikiolewa mke wa kwanza sitataka kuongezewa mwenzangu ila nikiwa wapili sina tatizo. Ila pia ni ubinafsi kweli nyie ni wachache sisi wengi kila mtu akiwa na mmoja wengine twende wapiNi ngumu kumeza, naamini pope leo akibadili sheria ya ndoa kuruhusu mke zaidi ya mmoja wake mtatafutana.
Wewe kama umeolewa ukumbuke kuna wenzio mtaani hawajaolewa na fact ni kwamba wanawake mpo wengi zaidi duniani hivyo hii kitu ya mke mmoja ni uchoyo na ubinafsi tu
Kwahiyo 5% wana michepuko nje na wanazini.95% hawana @
Kazi yake ni mvuvi. Wavuvi wanapenda sana mchezo wa chini labda kwa sababu mara nyingi wako tuKwahyo mkuu daily lazima ucheke na nyavu? Goli za kutosha! ![emoji102] [emoji102]
FactUnadhani sisi ambao hatujaolewa tukipewa nafasi na wanaume tunaowapenda tuolewe wake wa pili tutakataa? Wake walio mmoja ndo hawataki hii habari. Mimi mwenyewe nikiolewa mke wa kwanza sitataka kuongezewa mwenzangu ila nikiwa wapili sina tatizo. Ila pia ni ubinafsi kweli nyie ni wachache sisi wengi kila mtu akiwa na mmoja wengine twende wapi
Huyu anajisifia mkuyenge. .hebu ingia uje ulete mrejesho [emoji23] [emoji23]Una hela ya kutunza familia au unaona tu? Wanawake watatu kila mmoja akizaa watoto wawili ni watoto sita hao. Ada zinavyotia stress sasa.
Asante [emoji23][emoji23]Hahaha jamaniii pole ee
Mwanaume mwenyewe uwezo wa kula papuchi kila siku hafai. Kwanza atakua mbinafsi sana linapokuja suala la kumridhisha mwenzie.Huyu anajisifia mkuyenge. .hebu ingia uje ulete mrejesho [emoji23] [emoji23]
Naonaga wavuvi wa kipemba kule kwetu chumbageni wakitoka baharini wanashinda tu nyumbani. Wake zao wanazaa kila siku. Na wakishazaa watoto watatu wanaenda kwao wanarudi na brand new mtoto mbichiii anazalishwa nae akimaliza analetwa mwingine. Na family planning hawataki.Nani kasema wavuvi wako tu...kazi ngumu