Tofauti IPO kubwa cz imealalishwa na utaratibu unafuatwa unaoa kihalali kabisa so kwa imani yangu ni halali,wewe ambae umeamrishwa mke1 ukiwa na wengine ni zinaa kwa imani yako,,kwahiyo wewe huwezi kunizungumzia mi ninafanya zinaa...
Amealalisha nani? Mfano mie wake zangu wote wanajuana tena nyumba1 vyumba tofauti na nimewaambia nahitaji kuongeza wamekubali @ jpili hii naenda kutoa mahali jmosi ijayo naoa ,,atakaa hapahapa nyumbaniZote ni zinaa tofauti ni uhalalishwaji tu hapo,
Na vimada hao ni makubaliano yetu tumehalalisha
Amealalisha nani? Mfano mie wake zangu wote wanajuana tena nyumba1 vyumba tofauti na nimewaambia nahitaji kuongeza wamekubali @ jpili hii naenda kutoa mahali jmosi ijayo naoa ,,atakaa hapahapa nyumbani
Je mwenzangu wanajuana...VP wazazi wao wanajua?
Mwanaume aliyepevuka na mkamilifu anamambo mawili?Mimi ni Padre sina hitaji la hata huyo mmoja.
Sawa chief! Nashukuru umekubali wanaume hatuwezi mke1.
Usiseme Mkuu, ishia hapo hapo..!Nawaheshimu sana viongozi wa dini ushuhuda upo juu ya mambo yao bt sitasema hapa ukitaka njoo PM au nisemeeeeee......?
Samahani mkuuNiombe radhi
Aaaaaah
Wakina nani,,we umekuaja kufanya nini.Ngoja waje