Unawezaje kuwa na mke mmoja?

Unawezaje kuwa na mke mmoja?

prenge

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
219
Reaction score
283
Ni ngumu kueleweka na ila kiasili sisi wanaume tumeumbwa kuwa na mke zaidi ya mmoja na kwa upande wa waislamu imehalalishwa ila kwa ndugu zangu wakristo ni mke mmoja tu na sina uhakika kama imeandikwa iwe hivyo wajuvi wa mambo wanielimishe.

Cha kushangaza wale wote wenye mwanamke mmoja wanapaparika na vimada na ndio hao ukiwaambia mke mmoja hatoshi watakupinga waziwazi mbele za watu ila nafsi zao zinacheat.

Nawaambia wanawake ukiona mume wako hana dalili zozote za kucheat na mke uko peke yako jua anakuheshimu sana na lakini usijipe moyo hafanyi jua wenzako wapo coz asili ya mwanaume yeyote ni polygamy.

NB: Mwanaume yeyote aliyetimia ni polygamist.

Binafsi siwezi kuwa na mke 1 natarajia kuongeza wa 3 inshallah!
 
Huu ni ukweli kabisaaaaa. Ila wanafiki watakuja kukupinga. Una-advocacte for monogamism wakati una michepuko mia kidogo, si uoe ndoa ya kimila tu ilete legitimacy au nenda kwenye imani hiyo.
Kama mwanaume umetimia @ mwanamke1_ ni ngumu uwe tajiri au maskini@ fuatilia michepuko kote IPO..
 
Mzee mwanaume ata tupewe wanawake 100 lazima utatamani nje tu.
Polygamy in nature@ Mfalme mswati ....na tabia zetu wanaume tunapenda sana vitoto under 18 @_bt sheria inabana tunakuwa wapole
 
Haina tofauti na uzinzi wa kualalishwa kama mwamvuli wa kuoa wake wa 4
Tofauti IPO kubwa cz imealalishwa na utaratibu unafuatwa unaoa kihalali kabisa so kwa imani yangu ni halali,wewe ambae umeamrishwa mke1 ukiwa na wengine ni zinaa kwa imani yako,,kwahiyo wewe huwezi kunizungumzia mi ninafanya zinaa...
 
Back
Top Bottom