Nimefunzwa kitu...
Unapooa si kuwa mkeo ni mzuri kuliko wote au ni mkamilifu zaidi kuliko wote ila ni uvumilivu na staha tu kwa kuwa umemuona kati ya wote na utamuenzi pia kuliko wote ... toka nakua ninajua kuwa nitaoa mke mmoja na ndoa ni zaidi ya ngono hivyo akili yangu iliandaliwa hivyo toka nipo mdogo lakini mwili unawaka tamaa so hiyo aibatilishi njia nilizokuzwa nazo..
Kama ulikuwa na jicho la kumuona wa kwanza hadi wa nne kwa sababu tu ya kuridhishwa kingono je,una guarantee gani hutomuona wa 5 hadi wa 10 ???....
Men are polygomist in nature lakini waliotoa huu msemo hawakuweka ukomo wa wanawake wangapi wataridhisha hiyo asili ya mwanaume..
Regardless ya number za wake mtu anaowamiliki ..kwa wakristu ,waislamu na wanaofuata asili zao ,kote wapo wachepukaji na wasiochepuka ...
Wazuri wanazaliwa kila siku na jicho halishibi fahari yake hivyo utawaona wangapi hadi ushibe ..
Acha kuhalalisha madhaifu yako kwa kutumia madhaifu ya wengine ...wewe ni wewe na wao ni wao..