Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,264
- 542
Hata mkioa wanne badi mnakua na vimada badilisha topic iwe wanaume tuna tamaa haturidhiki
Mtazamo wako tu@ wote wanalea kwa sasa@ huduma zote wanapata narotate kila baada ya siku1 maisha yanaenda@ nguvu ipo bado kijana mbichi@mliopitia Chaputa hamuwezi...Mnajipa moyo kuwamudu[emoji51]
Wengine bendera fuuta upepo tuu Fulani ana wawili na wewe unaoa!
Angalieni kwanza Mashine zenu,ziko timamu?
Mnawatesa sana wanawake na vibao vidhaifu sababu ya foleni ndefu isiyo na likizo!
Wamoja havai mbili,na WA mbili havai moja!
Na hasa wanaooa ukewenza nguvu ndoooogo,hujicha kwa kuoaoa ili mke akilala aambiwe ,mbona kaoa tena juzi au unamatatizo wewe!? Anakaa kimya !
Mara nyingi hawapendi wake wawe marafiki maaana watahadithiana!
Hawakawii kuzua ugomvi ili wasiombwe mechi!
Kuna jamaa akiombwa ugomvi,eti kwani anatumia dizeli[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata aliebakwa analea!Mtazamo wako tu@ wote wanalea kwa sasa@ huduma zote wanapata narotate kila baada ya siku1 maisha yanaenda@ nguvu ipo bado kijana mbichi@mliopitia Chaputa hamuwezi...
Mvuvi haufi njaa@ nashindwa kujenga ghorofa tuHata aliebakwa analea!
Mimba inaigia hata bwawani!
Maijigambe sana!
Wachache sana wanajimudu!
Wengi taàbani!
Mimi hunimbii kitu!
Ninamaushahidi kibao, mnatunziwa siri ttuu!
Huo mzunguko hatari,
Wengine vipato vibovu wananga'ng'a tuu!
Narudia tena jiangalieni vizuri hali zenu za mfuko na Mashine
Mi najimudu sanaMnajipa moyo kuwamudu[emoji51]
Wengine bendera fuuta upepo tuu Fulani ana wawili na wewe unaoa!
Angalieni kwanza Mashine zenu,ziko timamu?
Mnawatesa sana wanawake na vibao vidhaifu sababu ya foleni ndefu isiyo na likizo!
Wamoja havai mbili,na WA mbili havai moja!
Na hasa wanaooa ukewenza nguvu ndoooogo,hujicha kwa kuoaoa ili mke akilala aambiwe ,mbona kaoa tena juzi au unamatatizo wewe!? Anakaa kimya !
Mara nyingi hawapendi wake wawe marafiki maaana watahadithiana!
Hawakawii kuzua ugomvi ili wasiombwe mechi!
Kuna jamaa akiombwa ugomvi,eti kwani anatumia dizeli[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe huwezi kuwa na jibu!Mi najimudu sana
Kwa kuoa mmojaNi ngumu kueleweka na ila kiasili sisi wanaume tumeumbwa kuwa na mke zaidi ya mmoja na kwa upande wa waislamu imehalalishwa ila kwa ndugu zangu wakristo ni mke mmoja tu na sina uhakika kama imeandikwa iwe hivyo wajuvi wa mambo wanielimishe.
Cha kushangaza wale wote wenye mwanamke mmoja wanapaparika na vimada na ndio hao ukiwaambia mke mmoja hatoshi watakupinga waziwazi mbele za watu ila nafsi zao zinacheat.
Nawaambia wanawake ukiona mume wako hana dalili zozote za kucheat na mke uko peke yako jua anakuheshimu sana na lakini usijipe moyo hafanyi jua wenzako wapo coz asili ya mwanaume yeyote ni polygamy.
NB: Mwanaume yeyote aliyetimia ni polygamist.
Binafsi siwezi kuwa na mke 1 natarajia kuongeza wa 3 inshallah!
Una hela ya kutunza familia au unaona tu? Wanawake watatu kila mmoja akizaa watoto wawili ni watoto sita hao. Ada zinavyotia stress sasa.Amealalisha nani? Mfano mie wake zangu wote wanajuana tena nyumba1 vyumba tofauti na nimewaambia nahitaji kuongeza wamekubali @ jpili hii naenda kutoa mahali jmosi ijayo naoa ,,atakaa hapahapa nyumbani
Je mwenzangu wanajuana...VP wazazi wao wanajua?
Umenena Ukweli kabisa.Inshaallah nami nitaongeza wa pili. Maana mmoja ni kera sana ni sawa mtu ana smart phone ya kichina bila ya kasimu kadogo ni ngumu. Wajuzi wa smart phone za kichina wanajua mateso yake.NB: Mwanaume yeyote aliyetimia ni polygamist
Una mchepuko?Umenena Ukweli kabisa.Inshaallah nami nitaongeza wa pili. Maana mmoja ni kera sana ni sawa mtu ana smart phone ya kichina bila ya kasimu kadogo ni ngumu. Wajuzi wa smart phone za kichina wanajua mateso yake.
Kwa hoja yako@ we utakuwa mtumishi wa serikali au umeajiriwa nadhani...sasa Mimi mvuvi 20000 au 15000 saving daily sikosi@na mboga narudi nayo nyumbani..Una hela ya kutunza familia au unaona tu? Wanawake watatu kila mmoja akizaa watoto wawili ni watoto sita hao. Ada zinavyotia stress sasa.
Allah ndio anatoa ridhiki. Surat Luqmaan aya ya mwisho Allah anasema hakuna nafsi inayojua kesho itachuma nini.Allah ndio anajua zaidiUna hela ya kutunza familia au unaona tu? Wanawake watatu kila mmoja akizaa watoto wawili ni watoto sita hao. Ada zinavyotia stress sasa.