Umekurupuka...!
Kama wewe huwezi kuwa na mke mmoja pekee kwanini unaamini kuwa Wanaume wote pia hawawezi?
Hili neno la kusema kuwa:
'Wanaume ni Polygamists naturally" huwa limefanyiwa utafiti yakinifu na kudhihirishwa au huwa mnaiga tu mahali?
Kwetu wakristo kuwa na Mke zaidi ya mmoja ni dhambi, ni Uzinifu.
Ikiwa mimi siwezi kuishi na mke mmoja pekee na nina michepuko hainifanyi niseme kuwa hata Wanaume wengine hawawezi, ama nihalalishe kuwa ndio asili ya wanaume wote.
Tabia mbaya inaweza kuwa halali kwako ila Haramu na majuto kwa wengine....Usigeneralise.