Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,938
Sasa je mambo si ndio hayo, ndio maana tukawepo wenye perception zinazofanana kama hivi, kweli umekomaa mamaa.Unadhani sisi ambao hatujaolewa tukipewa nafasi na wanaume tunaowapenda tuolewe wake wa pili tutakataa? Wake walio mmoja ndo hawataki hii habari. Mimi mwenyewe nikiolewa mke wa kwanza sitataka kuongezewa mwenzangu ila nikiwa wapili sina tatizo. Ila pia ni ubinafsi kweli nyie ni wachache sisi wengi kila mtu akiwa na mmoja wengine twende wapi