chugaa
Member
- Nov 6, 2020
- 80
- 99
- Thread starter
- #41
Academic yake ipo chini sana mkuu , Nimekusoma mkuuWatu wote hatuwezi kufanana, kila mtu ana interest zake sasa unapotaka huyo awe kama wewe hapo ndipo unapofeli blaza.
Seems like hujui unachokitaka kwa huyo mwanamke, au una wanawake wengine nje so ukifanya comparison unaona kama huyo ni mshamba but jua ndoa ni zaidi ya hizo exposure unazoforce huyo mtu wako awe nazo.