Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Watu wote hatuwezi kufanana, kila mtu ana interest zake sasa unapotaka huyo awe kama wewe hapo ndipo unapofeli blaza.

Seems like hujui unachokitaka kwa huyo mwanamke, au una wanawake wengine nje so ukifanya comparison unaona kama huyo ni mshamba but jua ndoa ni zaidi ya hizo exposure unazoforce huyo mtu wako awe nazo.
Academic yake ipo chini sana mkuu , Nimekusoma mkuu
 
Basi sawa.
Kila mtu an interest zake, Kufanana uwa ni nadra sana.

Mpende kama alivyo just the ways she is
You can't change an adult.
Sawa mkuu , ile sharp mind huwezi kuiinstall kwa mtu aliyekomaa akawa Sharp in thinking ?
 
Sawa mkuu , ile sharp mind huwezi kuiinstall kwa mtu aliyekomaa akawa Sharp in thinking ?
Mwanamke akiwa na Sharp thinking as you umekwisha.
Kwanza mzee unabahati ila hujui kama umeipata.

Mwanamke akiwa anafikiria logical kama wewe means mkeka wako umechanika madume mawili under the same roof.

Acha awe passive kimtindo ila isiwe saaana, ili uweze kudominate territory vizuri.
 
Nimekuelewa sana mkuu .👏
 
Wanasema ndege wafanana ndyo huruka pamoja, hayaa nenda katafute wa kufanana na ww muache dada wa watu na yy atapata wa kufanana nae. Usje mchoka zaid hapo badae maana utamtesa.
 
Achana nae njoo kwetu wadada wa mjini tuliochangamka na wewe tunakuchangamsha zaidi ya hapo....
Muue !
images (3) (29).jpeg
 
Back
Top Bottom