Kwako wewe mwanaume uliyesalitiwa na mpenzi wako

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Mwanamke akikusaliti (Akikucheat) kwa Mwanaume mwingine, usikubali kumrudisha tena kwako.

Ili mwanamke akusaliti kuna vitu viwili husababisha.
  • Ni danga, huwezi kumtuliza. Au
  • Upendo wake umeisha kwako kihisia na vitendo, sio kimaneno.
Kuhusu aina ya kwanza hiyo sikushauri uingie naye kwenye mahusiano. Utamjua kirahisi kupitia stori zake.

Kama aliwahi kumcheat mwanaume wake yoyote ujue huyo ana tabia hiyo. Haijalishi sababu ilikua nini (hapa inabidi uwe na roho ngumu). Ndo hawa unakuta hawezi kuwa na mwanaume mmoja. Anaona haridhiki, kipesa, kihisia au kimawazo.

Mwanamke wa hivi anaweza fanya mapenzi na mwanaume hata bila kuwa na hisia naye. Anamuwekea mwanaume uchi hapo, apige akimaliza wamalizane.

Huyo wa aina ya pili ni kwamba si mvumilivu sana. Mapenzi sio mstari ulionyooka. Kuna kipindi kuna mazuri na kuna kipindi hakuna linaloenda sawa.

Wengine hawana uwezo wa kuvumilia ukiwa unapitia shida kifedha. Wengine hawana uwezo wa kuvumilia pale hisia zake kwako zikishuka.

Sasa kitendo cha yeye kwenda kwa mwanaume mwingine hadi kufikia hatua anavuliwa chupi, ujue haoni umuhimu wa kukutunzia wewe.

Haoni umuhimu wa kutunza uchi wake kwa ajili yako kwenye hicho kipindi mnachopitia. Mpaka kufikia hapo inamaana hisia zake kwako hakuna kabisa. Na ujue kwamba hisia za mwanamke hazina huruma na mtu hata kidogo.

Mwanamke hawezi penda mpenzi zaidi ya mmoja. Ukiona anapenda sehemu mbili ujue hana sifa ya kuwa mwaminifu, hasa kama ulikua umeshaingia naye kwenye mahusiano.

Akikucheat inamaana anakutumia. Kwake anasema ngoja niendelee kumuweka huyu ili jambo langu lisipofanikiwa kule nje basi niwe na sehemu ya kujipoozea (yani wewe).

Ndo maana ni muhimu kuwa na viwango vyako. Kuwa na misimamo yako. Mwanamke akikusaliti hiyo ndo imetoka, haijalishi ulimpenda kiasi gani.

Mana alikua na uwezo wa kusema muachane halafu akaenda kwa mwanaume mwingine kwa amani. Kweli, ungeumia! sababu unampenda lakini sio zaidi ya maumivu ya kusalitiwa na mwanamke unayempenda.

Na akishafanya vitu vyake huko, usimkubali tena. aukishamkubali tu, hatokuheshimu tena. Sababu sasa anajua huna mipaka. Anajua anaweza kukufanyia chochote na utamsamehe. Anajua huna msimamo!

Haijalishi amelia kiasi gani, baada ya muda atasahau hayo na atakumbuka kwamba hata akikusaliti huwezi muacha. Ni rahisi kurudia tena.

Na ukiona unamuonea huruma sana, mwambie mnaweza kuwa pamoja lakini si kama wapenzi tena. Japo sio jambo zuri mana anaweza akakuigizia mpaka ukajaa tena, ukamfanya mpenzi wako tena, alafu mzunguko ukajirudia tena.

Kuwa na Msimamo kumkataa Mwanamke asiyekufaa!

Share na Wengine wapate kujifunza.
 
Andiko zuri, weka na mbinu kidogo za kumnasa msaliti
Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
 
Naww mfatiliaji ni Msafi? Umejitakasa?Aisee utakufa mapema sana 🤦‍♀️
 
Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
Haya ndio maneno sasa ya mwanaume aliekamilika ..lazima umchunguze tena Kwa kiwango Cha c.i.a ...unawacha bila kumchunguza afu unakuja Lea mitoto hata aifanani na ww..

Kumbuka hata state house ni full kuchunguzana... mambo ya kumwamini na kumwacha afanye yake utakuja pigwa na kitu kizito...
 
Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
😁😁Mbinu ya kuomba password umpaye demu kichwa maji akina amina mabegani wa huku manzese
 
Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
Mapenzi ni kuaminiana. Ikiwa utafika stage ya kuwa ufanye hayo uliyoshauri hiyo ni ishara kubwa ya kuwa hakuna kuaminiana katika mahusiano yenu na daima utakuwa unajiumiza kichwa tu, ni heri muwachane. Pia sijui kwa Tanzania, lakini kwa nchi za ulaya na nyengine za afrika kitendo ulichokishauri kinaweza kukufikisha mahakamani ukigundulikana chini ya sheria inayojulikana kama controlling or coercive behaviour.
 
Mkuu nimesoma nikaishia katikati ila "cheating"ni neno pana,na inategemea na perception za mtu binafsi.Hata Malaya anayejiuza anampenzi wake,ila ipo siku atamcheat mpenzi wake,sio Kwa umalaya anaoufanya ila Kwa kupata mpenzi mwingine,Sisi Wanaume tunajua mwanamke akiliwa tu na mwingine imeisha.Mwisho nina swali Kwa masela siku umemsuprise Demu wako kwake ukamkuta ana jipiga pipe,dildo kama zote,atakuwa anakucheat?
 
Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
Unaomba simu ujirushie nyimbo? 🙄
Loh mbinu hafifu hii..
Relax nakutumia kwa WhatsApp..
 
Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
Wuuu huo muda unatoa wapi

Labda kama wewe ni jobless
 
Leo najisikia kucheat...
Anyone interested?
1687445420853.png
 
Muombe simu yake urushe nyimbo then mwambie simu yake inaitaji kufanyiwa update

So nenda upande wa password nenda finger print ongeza kidole chako na wewe (ukitaka kuongeza finger print hapa huwa wanaomba password so unampa aandike mwenyewe ili aendelee kujua hujui password yake)

Ukishafanikiwa hapo unaenda play store unapakua app ya call recorded then una iweka on alafu una HIDE hiyo app

So kazi yako inakuwa kila siku usiku akilala unachukua simu unajirushia call zote unaanza kuzisikia kama nyimbo vile

MFATILIE MWANAMKE WAKO KADILI UWEZAVYO

USIPOMFATILIA WEWE NAN AMFATILIE ?

KWANINI ULEE WATOTO AMBAO SIO WAKO UKIJUA NI WAKO
Umeuwa Meja general 😂
 
Back
Top Bottom