Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,881
- 157,104
Mjadala umeufunga mengine ni mbwembweSiku akipata hayo ma exposure utajua hujui.....
usimwamshe aliyelala..
OA mpiga jembe huyo achana na wasokota kucha
Mjadala umeufunga mengine ni mbwembweSiku akipata hayo ma exposure utajua hujui.....
usimwamshe aliyelala..
OA mpiga jembe huyo achana na wasokota kucha
Wewe ni mshamba sana usikatae, sijaona hata kasoro moja hapo ya kutaka kumuacha huyo dada. Kijana em usikaze FUVU hakuna mwanamke unaeweza kumpata amekamilika kila kitu kwanini mkiambiwa kila siku huwa hamuelewi hili lakini?!Mkuu mimi ushamba wangu wapi hapo?
Anafanana na WA kwangu kwa sifa zote ulizotaja,nina miaka kumi sasa, hakuna mapicha mengine madaogo ni udhaifu wa kawaida wa mwanafamu.Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu .
Kifupi uyu binti amesoma na kukulia kijijini kwao huko mkoani. Ni mwanamke mchapa kazi sana , Yeye jembe twende kila kitu twende . Ukimkuta kapendeza na kazi anazopiga huwezi kuamini. Sio mwanamke anayependa U'slay queen hata kidogo.
Elimu yake ni form four ila kuna short courses flani alisomea. Na mimi Elimu yangu ni Degree .
Nimevutiwa na baadhi ya tabia zake mpaka sasa natamani nimuoe. Ni mtu anayenifanya nijihisi na amani hana yale mapicha picha.
Kwa sasa nimekaa naye kwangu kama mwaka hivi. Hana dalili zote za kunitia mashaka.
Tatizo alilonalo ni mtu mvivu wa kujifunza vitu na exposure ya masuala tu ya kawaida ya kijamii na Shuleni. Yaani mpaka sa nyingine napata tabu! Vitu vingi vy shule vya Academic vingi amesahau mpaka inshanagaza .
Imefika hatua nawaza kumuacha nitafute mtu mwingine!!! Ila roho nyingine inaniambia kazana naye.
Je, naweza kumbadilisha vp awe na exposure maana alisoma huko kijijini kwenye shule za kata labda ndo maana ufahamu wake ni mdogo hivi.
Naweza vp nikamnoa akili yake?
Aiseee basi tupo wengi mkuu .Umenipa elimu hapa.Anafanana na WA kwangu kwa sifa zote ulizotaja,nina miaka kumi sasa, hakuna mapicha mengine madaogo ni udhaifu wa kawaida wa mwanafamu.
Ukimwacha utakuja kulia siku za usoni kwa sababu Mungu amekupa huyo wa kufanana naye
Eti anataka huyo manzi ake awe na exposure mwache akomae siku moja demu ataanza kuliwa tigo huko nje ikiwa ni moja ya vitu alivyotaka kujifunza.Anafanana na WA kwangu kwa sifa zote ulizotaja,nina miaka kumi sasa, hakuna mapicha mengine madaogo ni udhaifu wa kawaida wa mwanafamu.
Ukimwacha utakuja kulia siku za usoni kwa sababu Mungu amekupa huyo wa kufanana naye
We jamaa yawezekana ukawa mwalimu. naona umekomaa na mada ya academic tu kwake.Ile sharp mind ya kawaida ,yaani huyu hata ukikaa nayeukidiscuss hoja shuleini kasahau kila kitu
Mi nakwambia utapoteza lulu kamandaPoleee sana dada yangu , Huyu mwenzako nampenda ila ni mvivu wa kujifunza vitu . Hata vipindi vya TV yeye ni muziki na movie tu , Hataki hata kuangalia vipindi akajifunza kitu.
Aisee sawa mkuu , Ngoja nilegeze fuvuWewe ni mshamba sana usikatae, sijaona hata kasoro moja hapo ya kutaka kumuacha huyo dada. Kijana em usikaze FUVU hakuna mwanamke unaeweza kumpata amekamilika kila kitu kwanini mkiambiwa kila siku huwa hamuelewi hili lakini?!
Wengi wao (karibu wore) wapo hivyo hivyo!ni mvivu wa kujifunza vitu . Hata vipindi vya TV yeye ni muziki na movie tu , Hataki hata kuangalia vipindi akajifunza kitu.
Basi sawa.Hapana mkuu , ni Engineer wa UDSM