Kuwae specific ni exposure ipi unazungumziaMkuu kwani exposure ni mbaya? Au unazungumzia Exposure za kuruka debe Club
Never ever take a woman for granted.......their naturally so bright and intelligent, wewe ndo mshamba pamoja na ka degree kako, huwajui hao viumbeKuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu .
Haha huyu hapendi hizo pigo simaanishi ni mshamba na hapendi u slay queenAkishakuwa hivi 👇baadaye utakuja kulia lia amebadilika🐒
View attachment 1985070
ASIPOSIKIA NA HILI MWACHENI AMPE EXPOSURE TUNina mashaka akijua hayo unayoyataka atakubadilikia!
Patamu hapo..
Hapa tusubiri wajuvi wakushauri kwa kweli.Natamani awe na Sharp mind ile ya kuwaza na Kufikiri
Poleee sana dada yangu, Huyu mwenzako nampenda ila ni mvivu wa kujifunza vitu. Hata vipindi vya TV yeye ni muziki na movie tu, Hataki hata kuangalia vipindi akajifunza kitu.Jamaa niliyezaa nae mtoto wa kwanza ambaye nishawahi simulia alinibana sana nitoe mimba ya huyu my firstborn...alinikuta nina kaz tayari,nafuga kuku kienyeji nalima sana...kuna siku nakumbuka akamuuliza mshkaji wake aliyekuja nae kwangu sikuhiyo,"sijui nioe huyu" sikujua maana yake lakin kumbe tupo wengi.Akaniacha na maumivu na mimba kususiwa juu.....mpaka sasa mwanangu ana wadogo watatu waliyeshea baba....alioa wa degree mwenzie wakazaa wakashindwana,akazalisha mwingine wakashindwana,ndo nasikia Kaka saloonist ambaye nae sana mtoto mmoja.mwanangu ana 5 years ana wadogo 4 pamoja na huyu wangu.Hivyo kupanga ni kuchagua...utavuna ukitakacho.
Sifa moja ya "exposure" ni kuleta mabadiliko...take care !Haha huyu hapendi hizo pigo simaanishi ni mshamba na hapendi u slay queen