Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

Picha itaongea
 

Attachments

  • 1439562378985.jpg
    1439562378985.jpg
    36.7 KB · Views: 118
  • 1439562410015.jpg
    1439562410015.jpg
    37.5 KB · Views: 117
Mwaka 2005 usd 1 tsh 950
2005 bei ya beer 600 leo 2500
2005 Nauli ya hiace 100.leo 400
2005 Kibiriti 20.leo 200


Niichague ccm kwa lipi?
Hapo elimu sijasema

huku kwetu kibiriti 100
 
Watu wanakufa kwa kukosa dawa mahospitalini wao wanagawana pesa kwa sandarusi masheitwan hawa!!!
 
Mie siipendi kwa sababu inatufanya watanzania wote kama mazezeta na wao tu waliopo madarakani ndo wenye akili.
 
Nachukia ninavyokatwa kodi kubwa na maisha yako juu hela hainisaidii chochote na bado wanaendekeza ufisadi
 
naichukia ccm kwasababu viongozi wake ni wahujumu wa uchumi wetu
 
Yaani yote tisa kumi jamani ccm nawachukia na tanesccm yenu.
Hivi ni nini kutukatia umeme hivi bila taarifa wala maelezo yoyote sijui mgao huu utaisha lini maana tangu nizaliwe hadi sasa nazeeka bado umeme niwa mawazo tuu.
Ccm siwapendiiiiiiiiiiiiii.
 
Naichukia ccm kwa sababu inanifanya nisipige hatua ktk maendeleo kila nikijitahidi kuyafikia vitu vinapanda bei wkt kipato hakiongezeki, kodi kubwa hawaonyeshi km wanahuruma na sisi hawathubutu hata kupunguza matumizi yao ili angalau tuhisi tupo pamoja. Mimi muajiriwa ndio mlipa kodi mwaminifu tena wa PAYE lkn sijawahi pewa tuzo ya uzalendo wala kusamehewa km wanavyofanya kwa hao wanaotunyonya.
 
Hata hao wakichaguliwa changamoto zilezile kila mmoja ni kuchumia tumbo lake na watoto wake tu
 
Back
Top Bottom