Kyamkwikwi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 441
- 146
Kamanda huko ndo kutokufanya kitu kabisa kwa lugha nyingine wamefanya ubadhirifu na hujuma kwa watanzania na rasilimali zetu.
😄😄😄😄😄😄😄
Mfano ni ujenzi wa barabara duni za lami Kwa kodi zetu. Mf.barabaraya kampala/bukoba/mwanza haina hata miaka kumi, pita saa hizi uone palivyo, utafika nyumban kama vile umetoka shimoni na ukienda vibaya ajari za kufikia kwenye mashimo. Sidhani kama tunalipa kodi kutengenezewa barabara kama vile tunalambishwa sukari kwenye ulimi ili kufurahia radha ya kitambo tu kujua ilivyo. Tunataka maendeleo endelevu (sustainable), it is our money. Sio barabara za kukwangua kila mwaka halafu tunajisifu tumejenga barabara za lami.
Nenda tu majirani zetu hata kenya, barabara hadi zimeota kutu lakini huwezi kuona shimo katikati ya barabara ya highway.
Unapofanya kitu chini ya viwango ni bora usifanye kabisa ili tujue jambo fulani halijafanyika ili tulipe kipaumbele kuliko kujiridhisha with false confidence kumbe ni bomu linalotulipukia kesho yake.

Hatusemi CCM haijafanya kitu kabisa lakini kwa maisha yaliyopo na maliasili hatupaswi kuwa hapa tulipo sasa .Ni bora tuwape watu ambao wanauthubutu wa kufanya mambo ambayo CCM wameshindwa kuyafnaya kwa muda wote huo
Miaka hamsini na nne hatupaswi kuwa hapa tulipo Mfano mzuri ni Kenya ,Rwanda wapo mbali sisi tunashindwa nini na kwanini wao waweze
Wakati ni sasa